Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Tufanyeje sasa na wameshapeana ruhusa kuibaBila katiba mpya hakuna kitu kitafanyika
Acha pesa zipigweTufanyeje sasa na wameshapeana ruhusa kuiba
Hamna, wametuibia sana.Acha pesa zipigwe
Na badoHamna, wametuibia sana.
Acha pesa zipigwe
Usitupigie kelele. Wakati unahamia huko kwa kununuliwa na Polepole hukuyajua? Aliyekununua hana power tena na umeachwa nje ya inner circle ya serikali ya Samia, sasa unakuja kulilia wapinzani? Jibebe mwenyewe.List of shame ilivyowekwa wazj pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi wanaolitafuna taifa letu.
Sasa rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa taifa wa CCM amebariki ufisadi wazi wazi kwenye runinga. Huu ndio wakati wa kuwaeleza wananchi juu ya hili na wananchi wapate imani juu yetu ili kuig'oa CCM ya mafisadi.
Idiotic postUsitupigie kelele. Wakati unahamia huko kwa kununuliwa na Polepole hukuyajua? Aliyekununua hana power tena na umeachwa nje ya inner circle ya serikali ya Samia, sasa unakuja kulilia wapinzani? Jibebe mwenyewe.
Acha kutuchanganyaHuko kwenu viongozi wanaogopa kuanzisha mada ya ufisadi kwa sababu itabidi wanachama waanze kwanza kutaka kujua zilipokwenda zile milions walizokuwa wanakatwa wabunge kila mwezi kwa muda wa miaka mi5, pia watataka kujua sababu ya mwenyekiti kukiuzia chama chake mwenyew magari chakavu kwa bei ya dukani, watataka kujua yalipopotelea mamilioni ya ruzuku huku chama kikishindwa kujenga hata ofisi inayoeleweka nk. Ni vigumu kudili na matatizo he jirani yako huku yakwako yakikushinda.
Tangu lini umekuwa mpinzani?List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi wanaolitafuna taifa letu.
Sasa rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa taifa wa CCM amebariki ufisadi wazi wazi kwenye runinga. Huu ndio wakati wa kuwaeleza wananchi juu ya hili na wananchi wapate imani juu yetu ili kuig'oa CCM ya mafisadi.
We umejoin Dec 31 kuja kupost uharo.Tangu lini umekuwa mpinzani?
More than yours? You post an idiotic argument, you attract an idiotic response. Stay calm, more of what you call idiotic responses are underway coming until you stop your hypocrisy.Idiotic post
Jibu swali!We umejoin Dec 31 kuja kupost uharo.
Tudai katiba mpya na yakiitishwa maandano ya kudai katiba mmijitokezeTufanyeje sasa na wameshapeana ruhusa kuiba
Hivi huyu huwa ni nani?Usitupigie kelele. Wakati unahamia huko kwa kununuliwa na Polepole hukuyajua? Aliyekununua hana power tena na umeachwa nje ya inner circle ya serikali ya Samia, sasa unakuja kulilia wapinzani? Jibebe mwenyewe.
Huyo mbwiga shushushu huyo.Tudai katiba mpya na yakiitishwa maandano ya kudai katiba mmijitokeze
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauchoki?unafikiri kuandika humu mara kwa mara ndio itakuwaje?chukua hatua kujitokeza hadharani may be utaungwa mkono na wengine wakuone but humu kuanzisha thread kila mara haitasaidiaList of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi wanaolitafuna taifa letu.
Sasa rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa taifa wa CCM amebariki ufisadi wazi wazi kwenye runinga. Huu ndio wakati wa kuwaeleza wananchi juu ya hili na wananchi wapate imani juu yetu ili kuig'oa CCM ya mafisadi.
Mimi ni Kamanda Asiyechoka, kupitia humu ujumbe unafika kabisa ndio maana na wewe umekufikia.Hauchoki?unafikiri kuandika humu mara kwa mara ndio itakuwaje?chukua hatua kujitokeza hadharani may be utaungwa mkono na wengine wakuone but humu kuanzisha thread kila mara haitasaidia