Hoja ya ufisadi wa CCM kutunyanyua wapinzani, kama ilivyofanyika enzi zile list of shame ya mafisadi na sasa tuikiomalie na huu wasaa wa kuig'oa CCM

Kipindi kile ulipigwa mnada umeanza kurudi tena?
 
🤡🤡🤡
Your browser is not able to display this video.
 
2015, sijui nn kilitokea ad chama letu pendwa likawakumbatia wale ambao walikuwa kwenye list of shame, sijui Sasa hiv chama kitaanzia wap kuzungumzia ajenda ya ufisadi?
 
Kwa hiyo huko CCM ufisadi ruksa?
 
Kwa hiyo huko CCM ufisadi ruksa?
Ufisadi sio ruhusa popote mkuu. Lkn vyama vyote vina mafisadi, mpaka fisadi mungine tuliwekewa na wapinzani tumchague awe raisi wetu mwaka 2015, huku wakidai kwamba wana ushahidi wa ufisadi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…