Hoja ya waziri Mwigulu Nchemba serikali kuachia Trilion 5 ni absolutely Zero-sum game

Katika Kampeni za 2015 alisema anajua shida za Wananchi kwasababu amewahi kuwa Kibarua Mjenzi huko Boko na mkewe Amma Ntilie.
Leo mama Ntilie wanao uza ubwabwa wa elfu wamesahauliwa?
Mwisho atakujibu tu"mi nimepambana hadi kufika hapa,na wwe pambana acha kulialia" Maisha ni vita Muraaaa!!
 
Mpe somo mkuu, umemkosoa kama umechukizwa na alichoandika tu.
Ukiona Mtu anakimbilia Matusi,ujuwe hana hoja huyo japokua angependa awe nayo sema uelewa tu ndiyo tunatofautiana!!
 
Unamdomo mrefu Kama kasuku .tangu umalizia chuo hujawahi kufanya kazi popote hata Field yako huijui achilia mbali uchumi

Hizi tozo muulize mpango atakusaidia

USSR
 
Unamdomo mrefu Kama kasuku .tangu umalizia chuo hujawahi kufanya kazi popote hata Field yako huijui achilia mbali uchumi

Hizi tozo muulize mpango atakusaidia

USSR
Umemsikia Mama Mh. Rais ? [emoji1787][emoji1787]
 
Nondo, Asante kwa ufafanuzi. Wazo langu ni kwamba hawa hawajui kula na kipofu. Kwanza kwa gharama hiyo tu kwa mtumaji ya Tsh2940 badala ya kupiga mtumaji na mpokeaji kiasi hicho kinachofanana yani jumla gharama ya Serikali ni Tsh 2,940x2 =5,880 wangekuwa waungwana basi Tsh 2940 wagawe mara mbili yani @ Tsh1470 waichangie mpokeaji na mtumaji.

Lazima, uanze na makato madogo ili uwandae wananchi kisaikologia. Alafu watu wakisusa miamala ya simu, na serikali ijue faida kwa makampuni ya simu itashuka na hivyo faida kuwa chini na kodi kushuka pia. Zinduka mchumi wetu P'se!!!
 
Vipi mmeshawapongeza CCM kwa ushindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…