Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,993
Uchaguzi wenyewe magumashi matupu!
Rais anakwenda kuzindua kisima cha maji inakuwa tukio LA kitaifa?
Kweli tumefikia hatua ya mwisho kurejea kwenye unyani
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unywe sumu tuu ufe? Mbona mnaumia sana uchaguzi wa chama sio chenu?Kumfanya Mbowe kuwa mwenyekiti tena haiwezi kuwa uchaguzi.. its true
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unywe sumu tuu ufe? Mbona mnaumia sana uchaguzi wa chama sio chenu?
Wenye chama yaani wanachama wa Chadema ni furaha na vifijo inakuwaje kwenu?
Mbowe hafai kuwa mwenyekiti (kwa muono wenu) kwamba ataua chama, jee ni jambo gani LA furaha kama hilo kwa mwenyekiti wenu, katibu mkuu hadi Polepole?
Hivi inawezekana mtu unayevizia kumuua kwa njia mbalimbali unashindwa kisha unamkuta anakunywa sumu unamzuia na kusikitika? Chadema imekunywa sumu yenyewe ili ife furahini basi! Makelele na vioja vyenu vimetuchosha kabisa. Bladi basketi boli ¢€¥√¶
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana mipango mingi sana ya Kuharibu mambo ya chadema sema mipango yao yote inakuwa ya kitoto na inazidi kuipa kiki chadema kwa mfano Jana Mimi nilikuwa kijijini kabisa lakini wananchi walikuwa wamekusanyika makundi kwa makundi wakifuatilia mkutano wa chadema kupitia simu za mkononi!!.... Sasa hivi majority ya watu hawaangalii habari katika luninga Bali kwenye simu zao hata huku vijijini baada ya kugundua kwenye TV wanapangiwa kitu cha kuona na kusikiliza!....ccm wasichokijua wako nyuma ya muda wakati wananchi wako mbele ya muda so ni ngumu sana Ku wacontrol!Nilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema.
Ilikuwa hivi rais alianza kufungua jengo la mahaka na zimamoto kule Chato.
Baada ya hapo akaenda kuchangisha harambee ya msikiti wa Chato.
Mwisho akafunga na kwenda shule ya msingi aliyosomea kufungua visima nane vilivyojengwa na Islamic foundation.
Hoja yangu:
Wakati haya yote yakiendelea chadema walikuwa na mkutano wao mkuu ambao kimsingi ni tukio la kitaifa lenye uzito kuliko hata ratiba ya Jana ya MH Rais.
Binafsi navilaumu vyombo vya habari kwa unafiki huu kumbukeni siku chadema ikishika madaraka mtalazimika kuyajibu haya. Inamaana kweli hamkuombwa Tena kwa malipo kuja kurusha matangazo Yale? Na je wapanga ratiba ya Rais ni kweli ilikuwa coincidence kwa ratiba ya Rais kugongana na mkutano mkuu wa chadema au mlipanga makusudi ili ku overshadow mkutano wa chadema?
mkutano wa taasisi ya mbowe ndiyo izuie kurushwa mubashara kwa shuguri muhimu ya rais? nyie mmelogwa na lissu nyieNilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema.
Ilikuwa hivi rais alianza kufungua jengo la mahaka na zimamoto kule Chato.
Baada ya hapo akaenda kuchangisha harambee ya msikiti wa Chato.
Mwisho akafunga na kwenda shule ya msingi aliyosomea kufungua visima nane vilivyojengwa na Islamic foundation.
Hoja yangu:
Wakati haya yote yakiendelea chadema walikuwa na mkutano wao mkuu ambao kimsingi ni tukio la kitaifa lenye uzito kuliko hata ratiba ya Jana ya MH Rais.
Binafsi navilaumu vyombo vya habari kwa unafiki huu kumbukeni siku chadema ikishika madaraka mtalazimika kuyajibu haya. Inamaana kweli hamkuombwa Tena kwa malipo kuja kurusha matangazo Yale? Na je wapanga ratiba ya Rais ni kweli ilikuwa coincidence kwa ratiba ya Rais kugongana na mkutano mkuu wa chadema au mlipanga makusudi ili ku overshadow mkutano wa chadema?
Exactly, Mwenyekiti wenu ndiye kiongozi mkuu wa wasiopenda Mbowe awe mwenyekiti, achana na habari ya kudumu huo ni uzushi wako. Kwa hiyo huyo ni Adui wa taifa.No boss
Asiyefurahia Mbowe kuwa mwemyekiti wa kudumu huyo ni adui wa Taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muda muafaka wapinzani waunde vyombo vyao vya habari.Nilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema.
Ilikuwa hivi rais alianza kufungua jengo la mahaka na zimamoto kule Chato.
Baada ya hapo akaenda kuchangisha harambee ya msikiti wa Chato.
Mwisho akafunga na kwenda shule ya msingi aliyosomea kufungua visima nane vilivyojengwa na Islamic foundation.
Hoja yangu:
Wakati haya yote yakiendelea chadema walikuwa na mkutano wao mkuu ambao kimsingi ni tukio la kitaifa lenye uzito kuliko hata ratiba ya Jana ya MH Rais.
Binafsi navilaumu vyombo vya habari kwa unafiki huu kumbukeni siku chadema ikishika madaraka mtalazimika kuyajibu haya. Inamaana kweli hamkuombwa Tena kwa malipo kuja kurusha matangazo Yale? Na je wapanga ratiba ya Rais ni kweli ilikuwa coincidence kwa ratiba ya Rais kugongana na mkutano mkuu wa chadema au mlipanga makusudi ili ku overshadow mkutano wa chadema?
Ulivipa mtaji wewe vyombo vya habari?Binafsi navilaumu vyombo vya habari kwa unafiki huu kumbukeni siku chadema ikishika madaraka mtalazimika kuyajibu haya. Inamaana kweli hamkuombwa Tena kwa malipo kuja kurusha matangazo Yale? Na je wapanga ratiba ya Rais ni kweli ilikuwa coincidence kwa ratiba ya Rais kugongana na mkutano mkuu wa chadema au mlipanga makusudi ili ku overshadow mkutano wa chadema?
Exactly, Mwenyekiti wenu ndiye kiongozi mkuu wa wasiopenda Mbowe awe mwenyekiti, achana na habari ya kudumu huo ni uzushi wako. Kwa hiyo huyo ni Adui wa taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema.
Ilikuwa hivi rais alianza kufungua jengo la mahaka na zimamoto kule Chato.
Baada ya hapo akaenda kuchangisha harambee ya msikiti wa Chato.
Mwisho akafunga na kwenda shule ya msingi aliyosomea kufungua visima nane vilivyojengwa na Islamic foundation.
Hoja yangu:
Wakati haya yote yakiendelea chadema walikuwa na mkutano wao mkuu ambao kimsingi ni tukio la kitaifa lenye uzito kuliko hata ratiba ya Jana ya MH Rais.
Binafsi navilaumu vyombo vya habari kwa unafiki huu kumbukeni siku chadema ikishika madaraka mtalazimika kuyajibu haya. Inamaana kweli hamkuombwa Tena kwa malipo kuja kurusha matangazo Yale? Na je wapanga ratiba ya Rais ni kweli ilikuwa coincidence kwa ratiba ya Rais kugongana na mkutano mkuu wa chadema au mlipanga makusudi ili ku overshadow mkutano wa chadema?
Eeenh, mkuu 'idawa', umekamilisha mduara (360 digrii); au ni mie nisie elewa?Yaani nchi isimamishe shughuli zake kisa Chedema, ACT ama TLP wanafanya mkutano.
Nyie wafuasi wa CHADEMA sijui mnatumia kiungo gani kufikiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 'superbug', ungeondoa tu mstari huo, haukuwa na faida yoyote katika mada yako nzuri kabisa.Binafsi navilaumu vyombo vya habari kwa unafiki huu kumbukeni siku chadema ikishika madaraka mtalazimika kuyajibu haya.
Sikh hizi umeamua kuunga mkono juhudi hewa kwa100%Yaani nchi isimamishe shughuli zake kisa Chedema, ACT ama TLP wanafanya mkutano.
Nyie wafuasi wa CHADEMA sijui mnatumia kiungo gani kufikiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini nchi nzima ilikuwa inafuatilia mkutano wa chadema kimya kimya, walio kwenye msafara wa raisi wametutonya kuwa jiwe alikuwa anafuatilia kwa karibu, kuliko uzinduzi wa visima vya majiAcha bangi, yaani mkutano wa saccos uwe na umuhimu kuliko yale aliyokuwa anayafanya Rais? Kuwa serious basi
Sent using Jamii Forums mobile app