Hoja yangu kuhusu Tozo iko palepale, watu wa vijijini wananyonywa kwa faida ya watu wa mijini

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Niliwahi kuandika kwamba tozo za banks zimewagusa majizi na matajiri wa Mjini wakiwemo wanasiasa na watu wa kundi la Kati ndio maana walizipigia Sana kelele.

Sasa Serikali imeendeleza unyonyaji wa watu wa Vijijini Kwa kuwafutia tozo kwenye mabenks huku ikiacha tozo kwenye miamala ya simu ambayo hutumiwa na watu wa Vijijini zaidi.

Wabunge na watu wa Vijijini amkeni na Tafuteni wa kuwasemea maana hao Wabunge wenu hakuna cha maana wanafanya.

Serikali iliweka tozo kwenye banks ili Ili ku boost maendeleo ya Vijijini,watu wa Mjini wakapinga na wamefutiwa..

Ikumbukwe kwamba kundi la watu wa Mjini ni dogo kuliko watu wa Vijijini ila hao wachache ndio wanawanyonya wa Vijijini.

Mkilima mnapangiwa Bei za Mazao yenu,mnanyonywa kwa faida ya mjini huku huduma huko zikipuuzwa.

Kama Serikali haifuti tozo za miamala na kama itaacha mpango wa kupeleka huduma stahiki za afya, barabara nk Vijijini waelewe kabisa kwamba sio tuu kwamba kura yangu hawana na nitaendelea kuwahamasisha watu wa Vijijini wawakatae.
 
Hoja yako ina mashiko. Serikali inapaswa kufanya tathmini ya kina juu ya athari ya tozo kwendana na makundi tofauti tofauti kwenye jamii.
 
Rais anayewadekeza
200 (15).gif

Wacha tudekezwe, kutesa kwa zamu.

Kipenzi chetu Samia.
 
Niliwahi kuandika kwamba tozo za banks zimewagusa majizi na matajiri wa Mjini wakiwemo wanasiasa na watu wa kundi la Kati ndio maana walizipigia Sana kelele.

Sasa Serikali imeendeleza unyonyaji wa watu wa Vijijini Kwa kuwafutia tozo kwenye mabenks huku ikiacha tozo kwenye miamala ya simu ambayo hutumiwa na watu wa Vijijini zaidi.

Wabunge na watu wa Vijijini amkeni na Tafuteni wa kuwasemea maana hao Wabunge wenu hakuna cha maana wanafanya.

Serikali iliweka tozo kwenye banks ili Ili ku boost maendeleo ya Vijijini,watu wa Mjini wakapinga na wamefutiwa..

Ikumbukwe kwamba kundi la watu wa Mjini ni dogo kuliko watu wa Vijijini ila hao wachache ndio wanawanyonya wa Vijijini.

Mkilima mnapangiwa Bei za Mazao yenu,mnanyonywa kwa faida ya mjini huku huduma huko zikipuuzwa.

Kama Serikali haifuti tozo za miamala na kama itaacha mpango wa kupeleka huduma stahiki za afya, barabara nk Vijijini waelewe kabisa kwamba sio tuu kwamba kura yangu hawana na nitaendelea kuwahamasisha watu wa Vijijini wawakatae.
Hivyo vijiji unavyoviongelea ni vya nchi gani? Vijiji vingi Tanzania siku hizi vina matajiri wengi tu hata kuwazidi walio mijini, mfano vijiji kama Rwamgasa, Nyarugusu, Mwakitoryo, Masengwa, Ekungu, Nyamisisi, Dutwa, Etaro, Ilunde, Mapili, na vingine vingi, tuwe katika level moja ya uchangiaji wa pato la Taifa.
 
Matajiri Vijijini wanafanya nini?
 
Halafu ndo useme vijijini watu hawana pesa, nenda hadi Mganza, Nyehunge,Gozba huko uone watu walivyo na pesa kufuru lakini ni vijijini
Acha utoto wewe, Vijijini kungekuwa na watu wenye pesa ungekuta kuna banks,viwanja vya starehe nk so toa ujinga wako hapa.
 
Niliwahi kuandika kwamba tozo za banks zimewagusa majizi na matajiri wa Mjini wakiwemo wanasiasa na watu wa kundi la Kati ndio maana walizipigia Sana kelele.

Sasa Serikali imeendeleza unyonyaji wa watu wa Vijijini Kwa kuwafutia tozo kwenye mabenks huku ikiacha tozo kwenye miamala ya simu ambayo hutumiwa na watu wa Vijijini zaidi.

Wabunge na watu wa Vijijini amkeni na Tafuteni wa kuwasemea maana hao Wabunge wenu hakuna cha maana wanafanya.

Serikali iliweka tozo kwenye banks ili Ili ku boost maendeleo ya Vijijini,watu wa Mjini wakapinga na wamefutiwa..

Ikumbukwe kwamba kundi la watu wa Mjini ni dogo kuliko watu wa Vijijini ila hao wachache ndio wanawanyonya wa Vijijini.

Mkilima mnapangiwa Bei za Mazao yenu,mnanyonywa kwa faida ya mjini huku huduma huko zikipuuzwa.

Kama Serikali haifuti tozo za miamala na kama itaacha mpango wa kupeleka huduma stahiki za afya, barabara nk Vijijini waelewe kabisa kwamba sio tuu kwamba kura yangu hawana na nitaendelea kuwahamasisha watu wa Vijijini wawakatae.
Asilimia 70 ya mapato ya serikali yanatoka Dar, hawa lazima serikali iwasikilize. Uchumi wa nchi hauendeshwi na maskini.
 
Kutoka Dar haina maana kwamba unatoka kwa watu wa Dar bali uwanja wa ndege na bandari..

Hiyo Dar inaongoza Kwa idadi ya maskini hapa Tanzania in terms of nombers.
 
mmmhhh trouble in paradise .. ? malaika na watakatifu 'peponi kwa fulani' huko wanatoana ngeu. hatari sana sheikh.
 
Watetea tozo ni watu ambao wana maono yanaishia usawa wa pua zao. Nchi hii wina vyanzo vingi vya mapato bandari, gas, mbuga, madini, ardhi yenye rutuba, samaki n.k lakini serikali imeshindwa kuviutilize kuleta maendeleo wanawaza tozo tu.
 
Back
Top Bottom