Habar ndugu jamaa na marafiki,ninajambo ambalo labda kwauelewa wangu nashindwa kuelewa vzur kimsing jambo hili linan sumbua sana,"INAKUAJE KIONGOZ WAJUU ANAPOKUWA NA ZIARA YAKE BINAFS AU SAFAR YAKE BNAFS,BARABARA ANAYOTUMIA NDIYO INAYOTUMIWA NA RAIA KWA SHUGHURI MBALI2.ALAFU KAZ ZA WATU ZINA SIMAMISHWA KWAMUDA WA SAA1 AU ZAID HAD KIONGOZ HUYO APITE."je huu ni utaratibu,sheria au ninini?naomba kuwekwa sawa,hii kitu imesababsha mgonjwa wangu kushindwa kufka hosptal kwa wakat.kiongoz huyo alikuwa akienda kwenye harus.nawatakia j3 njema.