Kila move inayofanywa na Serikali ya CCM (dhidi ya mpinzani) ni unintended promo ya huyo mpinzani. Hata siku watakapomuachia Lissu wataushangaa umaarufu ambao wameshamjengea kwa kumbambikizia kesi na kumweka nyuma ya nondo!Kanda ya ziwa Yoote impe Mpina kura za hasira. Hili ndio eneo kura zake hutoa mwelekeo wa nani atashinda urais.
Katavi, Rukwa na Mbeya wajazie kidogo kwa wingi.
Kilimanjaro na Arusha wafanye yao maana Chadema wapo wanasubiri reforms
Kura za kisasi huwa zinatoa ushindi.
Hizo kura za hasira zitahesabiwa na malaika? au ni hao majizi ya kura?Kanda ya ziwa Yoote impe Mpina kura za hasira. Hili ndio eneo kura zake hutoa mwelekeo wa nani atashinda urais.
Katavi, Rukwa na Mbeya wajazie kidogo kwa wingi.
Kilimanjaro na Arusha wafanye yao maana Chadema wapo wanasubiri reforms
Kura za kisasi huwa zinatoa ushindi.
Hawamjui vizuri Mr Kailima, ngoja awanyooshe,Act wamesema watalinda kura
Mjinga sana huyo mleta mada.Wewe bado unaamini mgombea anapatikana kwa kupigiwa kura nyingi?
Una NIDA? Unafikiri CCM wana shida na kura yako!? Je, MPINA hata akishinda atajitangaza!?!?Kanda ya ziwa Yoote impe Mpina kura za hasira. Hili ndio eneo kura zake hutoa mwelekeo wa nani atashinda urais.
Katavi, Rukwa na Mbeya wajazie kidogo kwa wingi.
Kilimanjaro na Arusha wafanye yao maana Chadema wapo wanasubiri reforms
Kura za kisasi huwa zinatoa ushindi.
Huu mkeka bado unapumua. Anguko la CCM 1995-2025.✍️📌Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 anaonekana hajui matatizo ya watanzania na wala hajui watanzania wanataka nini. Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi. Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania .
Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lisu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
Wewe Akili zako bado zipo kwenye Pre - Cambrian period. Who told you kura za hasira kwa wapinzani zinaweza kuamua ushindi wao? Wake up ndugu yangu, tume haipo huru,do not expect much from it.Kanda ya ziwa Yoote impe Mpina kura za hasira. Hili ndio eneo kura zake hutoa mwelekeo wa nani atashinda urais.
Katavi, Rukwa na Mbeya wajazie kidogo kwa wingi.
Kilimanjaro na Arusha wafanye yao maana Chadema wapo wanasubiri reforms
Kura za kisasi huwa zinatoa ushindi.
Ndio maana anataka uchafuzi usio na upinzani na ukiwepo ni wa Mwalimu SalumMarehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!