hoja yng

peter wa same

Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
58
Reaction score
7
katika hii field ya ualimu kuna watu tunafanya vibaya sana niko ktk halmashauri flani huku kusini mwa tz nimeripoti tu juzi lkn kinachonikera shule nliopangiwa waalimu wa kiume aslimia kubwa wanachukua madent juzi kuna ticha kashikwa kwny mahindi akiwa na mwanafunzi wa 4m 3 live wako full naked na hiyo imepelekea tudharaulike waalimu wote. ktk kata hii jambo ambalo linakatisha tamaa sana.
 
Potezea wewe labda mshahara mdogo mpaka afuatilie demu wake mjini ni gharama sana na wanafunzi wanawezakosa vipindi ndo maana anapata huduma ya chapchap mambo mengine yasilale. Big result now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…