Hoja za Kijinga Kabisa

Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kujibu hii hoja?
Hoja dhaifu sana huhitaji hata kubishana na mtu, nikupoteza muda tu
 
Vunjabei alikuwa na nafasi gani kwenye uongozi pale simba??ni wazi KUWA WEWE NI UTOPOLO.
Nchemba ni miongoni mwa watu watano ambao ni wajumbe wa kamati ya udhamini wa yanga(ambao kimsingi ni wamiliki wa timu kwa upande wa wananchi au wanachama.)

Wengine ni tarimba abass,mzee mkuchika,fatuma karume,na anthony mavunde.

Sasa mmiliki wa yanga akiweza kwenda kununua timu na akaenda kuwatembelea kambini kuwapa hamasa,kwako ina maana gani? Kwa akili za kawaida tu wewe unaona imekaaje,ukiacha ujinga wenu wa kitopolo topolo.
 
Tushike lipi sasa majini au Mwigulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…