Hoja za Muungano: Biashara, Kilimo na Uvuvi ni jambo la Muungano?

Kwa maelezo yako inaonyesha kwamba watanzania upande wa Tanganyika tunapunjika na huu Muungano. Hata Elimu ya Uraia itolewaje bado huu Muungano ni Muungano wa kinyonyaji dhidi ya Watanganyika. Katika kusoma kwangu kwote bado haya mambo hayawekwi wazi vizuri zaidi yamejificha ndani ya katiba. Katiba mpya ndio itakuepo ni suluhisho la huu unyonyaji ambapo wewe unasema Elimu ya Uraia ni muhimu.Ni muhimu kweli ili watu wafunguke akili.. Nafikiri ni mtu mpumbavu tuu anayekubaliana na muundo wa huu Muungano. Marehemu Mch Christopher Mtikila ndio pekee aliweza kuudadavua huu Muungano unavyoiathiri Tanganyika. Nafikiri Mzee Pascal Mayala unazo akili na unaelewa vizuri Sana kuhusu hii ishu ya Muungano Ila unataka kubase upande.
 
Changu changu Chako chetu.

Amandla...
 
We jamaa YEHODAYA sijui wameziba mirija. Pole sana bwashee.

Umekuwa na chuki na ubaguzi sana.

Hizo kero kipindi cha nyuma hukuwahi kuziona. Vumilia tu jombaa.

Acha chuki kwa mama.
 
Huu muungano wa hovyo hawa watu wa visiwani wanadekezwa km walemavu
 
Mkuu DASM , siku zote humu jf, mimi ni mkweli Daima kwa kuusema ukweli uliopo no matter what. Nimeandika mengi kuhusu muungano .
P
 
Nadhani wewe simtanzania.
Kwani wazanzibari kujaa bara haikuanza leo walajana.
Wazanzibari wapo bara hata kabla ya uhuru au mapinduzi.
Na wabara kuja zanzibar ni hivyo hivyo.

Hakuna muungano wa kenya na somali au tanzania na somali.
Hakuna muungano wa South Afrika na Tanzania
Hakuna muungano baina ya congo na Tanzania
Tanzania utawakuata in large number Congo, Burundi , South Afrika, Kenya, Uganda, Malawi, Somali, Comoro na sehemu nyingi tuu duniani.


Wazanzibari ni watanzania na wanahaki kuishi kokote Tanzania kama wa Tanzania wengine.
Leo ukishuka Zanzibar Wamasai wapo wengi utadhani upo Arusha.
Hoteli za kigeni nyingi zinaendeshwa na wabara na wakenya.

Fahamu hayo halafu uanza kutowa hoja zako.
 
Sehemu kubwa ya bahari ipo upande wa Tanganyika. Kuanzia tanga mpaka Mtwara na mafia island. Huna akili wewe mchangia mada. Wewe unafikiri bahari dunia nzima ni Mali ya Zanzibar punguani mkubwa wewe.
Hivi vijamaa hua havitumii akili kuwaza..vinazani tupo kwenye utawala wa sultani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huu ndio ujinga tunao ukataa..nyerere alitukosea sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tunataka kumiliki ardhi bila kikwazo..acheni ubinafsi...mbona huku tanganyika mnamilia bila shida.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kunya ni jambo la muungano maana wabara wanatupa kinyesi baharini wakati wana misitu,msisahau ule ukanda wa kilomita kumi tuko mbioni kuufwatilia,Tanga Dar Mtwara zote hizo zinatangaza kujiunga na Zanzibar.
Heheheheh. We jamaa, acha Bangi. Kwanza tulitakiwa kuifuta Zenji kabisa since 1964.
 
Je Tanganyika na wao wakitaka kilometa kumi nin kitatokea ?
Kunya ni jambo la muungano maana wabara wanatupa kinyesi baharini wakati wana misitu,msisahau ule ukanda wa kilomita kumi tuko mbioni kuufwatilia,Tanga Dar Mtwara zote hizo zinatangaza kujiunga na Zanzibar.
T
 
Muungano wetu una mapungufu mengi sana na yote inatokana Tanganyika hakuna autonomous region kama kule Zanzibar ambayo ni serikali ya SMZ kwaio tume generalized Tanganyika ni Tanzania kwaio mzanzibar anapata advantage ya kupata kila kitu ambavyo hata vile ambavyo sio vya muungano


Hii litaisha kama tukipata serikali ya Tanganyika arafu ije serikali ya JMT(URT) ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…