Hoja za Serekali za uhifadhi wa urithi wa asili, inaishinda hoja ya masai ya kimakazi

Hoja za Serekali za uhifadhi wa urithi wa asili, inaishinda hoja ya masai ya kimakazi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Uhifadhi wa mazingira ndizo kelele za dunia yetu kwa nyakati hizi, ardhi haiongezeki, bali watu wanaongezeka na masai wameongezeka kwa idadi kubwa ya kutisha, no matter ni eneo waliloishi miaka kwa miaka, ardhi isiyo mbuga ipo tele na yenye rutuba na nzuri kwa malisho ya mifugo.

Pia, hoja ya masai kwa sababu wameishi hapo miaka na miaka mpaka kutaka kuigeuza hifadhi hiyo jiji ni lazima tuipinge kwa nguvu zote ikiwa endapo kama tuna akili timamu na tunawafikiria watoto wetu kwa siku za mbeleni, no matter vyombo vya Habari vya Kimagharibi kutupigia kelele lakini hoja zetu za uhifadhi bado zina nguvu bila wasi kabisa, tusimame imara kutetea urithi, hifadhi na mbuga zetu kwa faida ya sasa na baadae!

-Chadema katafuteni hoja za kimsingi ya kupigania hili la masai sio hoja kwa wenye utimamu wa kiakili.
 
Back
Top Bottom