Uchaguzi 2020 Hoja za upinzani zenye lengo la kumchafua Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM zimejaa unafiki, uzushi na ulaghai

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,227
Reaction score
6,670
Nasema, bila kupepesa macho wala kumng'unya maneno, na kwa kujiamini kuwa hoja za upinzani zenye lengo la kumchafua Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, zimejaa unafiki, uzushi na ulaghai.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hoja hizo, ambazo pasipo na shaka ni VIOJA

1) Utawala wa kidikteta uliowanyima nafasi ya kufanya siasa: Serikali ya CCM imehakikisha hali ya amani na utulivu nchini inaimarika kutokana na hatua mbalimbali zilizochukuliwa za kuhakikisha wananchi wanapata fursa ya kushiriki katika shughuli za maendeleo bila kuwepo bugudha. Mifano ipo mingi km wawakilishi (madiwani na wabunge) waliendelea na shughuli zao za uwakilishi pasipo kuingiliwa. Au wafanya biashara ndogo ndogo wamepewa vitambulisho vinavyowapa fursa ya kuendelea na biashara zao popote nchini.

2) Maendeleo ya vitu badala ya vitu: Kuna upotoshaji wa hali ya juu, na wa makusudi, kwa maana halisi ya maendeleo ya watu (people-centred development). Serikali ya CCM imetekeleza mikakati iliyowezesha rasilimali za Taifa kutumika kimkakati na kikamilifu katika ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda na ustawi wa jamii, ikiwa ni pamoja na kuandaa na kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 - 2020/2. Mafanikio ya utekelezaji huo ni viashiria kadhaa vinavyoonesha umasikini umepungua na ustawi wa watu umeimarika:

√ Wastani wa miaka ya kuishi kwa Watanzania umeongezeka kutoka miaka 61 mwaka 2015 hadi takribani miaka 65 mwaka 2020;
√ Umasikini wa mahitaji ya msingi umepungua kutoka asilimia 28.2 mwaka 2011/12 hadi asilimia 26.4 mwaka 2017/18; na
√ kiwango cha umasikini wa chakula kimepungua kutoka asilimia 9.7 mwaka 2011/12 hadi asilimia 8.0 mwaka 2017/18.

3) Uchumi wa nchi umeporomoka kutokana na Sera za Serikali ya CCM zilizowafanya baadhi ya wafanya biashara kufunga au wawekezaji kuondoka. CCM kwa kutambua na kuthamini sana nafasi ya sekta binafsi katika kujenga uchumi wa kitaifa na ambao ni shindani uliojikita katika ujenzi wa Tanzania ya viwanda na katika kuleta mageuzi kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi, utalii na sekta nyingine zote.

CCM imezisimamia serikali zake kuhakikisha sekta binafsi inalindwa na kuendelezwa na kwamba haki ya kila mtu, kikundi, ushirika na kampuni ya kuendesha shughuli za uchumi na biashara kwa uhuru na kwa mujibu wa sheria zinalindwa wakati wote. Hivyo basi, Serikali ya CCM imetekeleza yafuatayo:

√ imeimarisha ubora wa miundombinu na huduma wezeshi kama vile uchukuzi, nishati na mawasiliano;
√ imeweka mazingira ya urahisi, ufanisi na uhakika wa sheria, kanuni, taratibu na utendaji wa sekta ya umma katika kuwezesha shughuli za uchumi na biashara za sekta binafsi;
√ inewezesha uwepo wa rasilimaliwatu ya kutosha yenye elimu, ujuzi na maarifa stahiki hususan katika nyanja za sayansi na teknolojia.

Matokeo ya sera na mikakati hiyo ya kiuchumi ni kama:
√Pato la Taifa limeendelea kukua kwa wastani wa asilimia 6.9 katika kipindi cha mwaka 2016 - 2019;
√ Pato la wastani la kila mtu limeongezeka kutoka shilingi 1,968,965 (Dola za Kimarekani 992) mwaka 2015 hadi kufikia shilingi 2,458,496 (Dola za Kimarekani 1,086) mwaka 2018;

Yapo mengi ya maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya CCM ambayo hakuna chama cha upinzani kinaweza kuyafanya ikizingatiwa baadhi ya hivyo vyama vimeshindwa hata kuendeleza vyama vyao km kutokuwa na ofisi za makao makuu ingawa mabilioni ya ruzuku hulipwa. Ada ya mja ni kunena, mwungwana ni vitendo.

Kwa kuwa vyama vya upinzani havina cha kuonesha ili viongozi waje waaminike, wagombea wa upinzani wanadi tu HOJA siyo VIOJA.
 
Utamchafua vipi mtu aliyekwisha chafuka?

Mwaka huu tutawafanyia maajabu Sana hamtaamini kitakacho toke.

Nchi inarudishwa kwa Wananchi

Miaka zaidi ya 60 mnaongelea mambo ya maji shule na barabara kwenye kampeni zenu?
 
Hizi ni propaganda tu umeandika hapa kutetea tumbo lako!

Ukweli halisi uko kwenye maisha ya watu ya kila siku!Huwezi kuyafanyia propaganda maisha ya watu maama wanayaishi!

Bahati yako umeleta hayo hapa JF,ungekuwa field tungekuzaba na vibao!
 
Tuliwaambia ccm mgombea wenu hauziki amkusikia ombeni poo kwa tume mbadili mgombea.
 
Jiwe anavuna mapando yake, ye si alimsikiliza kagame badala ya kuwasikiliza watz. Badala ya kupambana na shida za watz anapambana na upinzani.
 
Hili wala siyo geni kulisikia kwa CCM, maana wao hasa ndani ya hii miaka 5, UKWELI hugeuzwa kuwa ni unafiki, uzushi na ulaghai.

Sasa kama ni unafiki, uzushi na ulaghai mbona mnahangaika kuzijibu tena kwa kupokezana!!
 
Yaani uboreshe maisha ya watu halafu wenye maisha wasijue? Yaani unaweza ukamjengea nyumba nzuri mama yako halafu asijue? Labda kama haishi humo

Watanzania wameishi chini ya viongozi wengi na mifumo tofauti, vyama vingi ikaja chama kimoja na sasa vyama vingi, wanaelewa. Wanaposema uhuru umepungua ni kwasababu wana sehemu za kurejea(points of reference). Wanakumbuka wakati wa Kikwete watu walifanya kazi, mikutano na maandamano bila shida. Leo wanapokosa hizo haki wanasema, nyie mnashangaa.
 
Nasema, bila kupepesa macho wala kumng'unya maneno, na kwa kujiamini kuwa hoja za upinzani zenye lengo la kumchafua Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, zimejaa unafiki, uzushi na ulaghai.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hoja hizo, ambazo pasipo na shaka ni VIOJA

1) Utawala wa kidikteta uliowanyima nafasi ya kufanya siasa: Serikali ya CCM imehakikisha hali ya amani na utulivu nchini inaimarika kutokana na hatua mbalimbali zilizochukuliwa za kuhakikisha wananchi wanapata fursa ya kushiriki katika shughuli za maendeleo bila kuwepo bugudha. Mifano ipo mingi km wawakilishi (madiwani na wabunge) waliendelea na shughuli zao za uwakilishi pasipo kuingiliwa. Au wafanya biashara ndogo ndogo wamepewa vitambulisho vinavyowapa fursa ya kuendelea na biashara zao popote nchini.

2) Maendeleo ya vitu badala ya vitu: Kuna upotoshaji wa hali ya juu, na wa makusudi, kwa maana halisi ya maendeleo ya watu (people-centred development). Serikali ya CCM imetekeleza mikakati iliyowezesha rasilimali za Taifa kutumika kimkakati na kikamilifu katika ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda na ustawi wa jamii, ikiwa ni pamoja na kuandaa na kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 - 2020/2. Mafanikio ya utekelezaji huo ni viashiria kadhaa vinavyoonesha umasikini umepungua na ustawi wa watu umeimarika:

√ Wastani wa miaka ya kuishi kwa Watanzania umeongezeka kutoka miaka 61 mwaka 2015 hadi takribani miaka 65 mwaka 2020;
√ Umasikini wa mahitaji ya msingi umepungua kutoka asilimia 28.2 mwaka 2011/12 hadi asilimia 26.4 mwaka 2017/18; na
√ kiwango cha umasikini wa chakula kimepungua kutoka asilimia 9.7 mwaka 2011/12 hadi asilimia 8.0 mwaka 2017/18.

3) Uchumi wa nchi umeporomoka kutokana na Sera za Serikali ya CCM zilizowafanya baadhi ya wafanya biashara kufunga au wawekezaji kuondoka. CCM kwa kutambua na kuthamini sana nafasi ya sekta binafsi katika kujenga uchumi wa kitaifa na ambao ni shindani uliojikita katika ujenzi wa Tanzania ya viwanda na katika kuleta mageuzi kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi, utalii na sekta nyingine zote.

CCM imezisimamia serikali zake kuhakikisha sekta binafsi inalindwa na kuendelezwa na kwamba haki ya kila mtu, kikundi, ushirika na kampuni ya kuendesha shughuli za uchumi na biashara kwa uhuru na kwa mujibu wa sheria zinalindwa wakati wote. Hivyo basi, Serikali ya CCM imetekeleza yafuatayo:

√ imeimarisha ubora wa miundombinu na huduma wezeshi kama vile uchukuzi, nishati na mawasiliano;
√ imeweka mazingira ya urahisi, ufanisi na uhakika wa sheria, kanuni, taratibu na utendaji wa sekta ya umma katika kuwezesha shughuli za uchumi na biashara za sekta binafsi;
√ inewezesha uwepo wa rasilimaliwatu ya kutosha yenye elimu, ujuzi na maarifa stahiki hususan katika nyanja za sayansi na teknolojia.

Matokeo ya sera na mikakati hiyo ya kiuchumi ni kama:
√Pato la Taifa limeendelea kukua kwa wastani wa asilimia 6.9 katika kipindi cha mwaka 2016 - 2019;
√ Pato la wastani la kila mtu limeongezeka kutoka shilingi 1,968,965 (Dola za Kimarekani 992) mwaka 2015 hadi kufikia shilingi 2,458,496 (Dola za Kimarekani 1,086) mwaka 2018;

Yapo mengi ya maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya CCM ambayo hakuna chama cha upinzani kinaweza kuyafanya ikizingatiwa baadhi ya hivyo vyama vimeshindwa hata kuendeleza vyama vyao km kutokuwa na ofisi za makao makuu ingawa mabilioni ya ruzuku hulipwa. Ada ya mja ni kunena, mwungwana ni vitendo.

Kwa kuwa vyama vya upinzani havina cha kuonesha ili viongozi waje waaminike, wagombea wa upinzani wanadi tu HOJA siyo VIOJA.
Akili zako na za mke wangu niliyemfukuza zinafananaaa
 
Mbona hakuna anayetaka kuiongelea Chato International Airport....!!?
 
Hizi ni propaganda tu umeandika hapa kutetea tumbo lako!

Ukweli halisi uko kwenye maisha ya watu ya kila siku!Huwezi kuyafanyia propaganda maisha ya watu maama wanayaishi!

Bahati yako umeleta hayo hapa JF,ungekuwa field tungekuzaba na vibao!
Nilichunguza nikaona kuwa kwa mfano katika kata ninakotoka, kuna wastani wa waalimu 4 katika kila shule ya msingi. Katika kijiji changu kikubwa chenye shule 5 za msingi kuna walimu 32 waliomaliza vyuo vya elimu ambao kwa miaka 5 hawajaajiriwa. Wengine wanaendesha bodaboda, wengine hulima bustani na wengine wako mijini kujaribu kutafuta maisha. Hayo ndiyo maendeleo yanayojali watu? Yasiyojali elimu bora kwa watoto wetu? Yasiyojali ajira ya watoto wetu? Hata kama tungenunua ndege na kujenga maflaiova, inasaidia nini kama kizazi kijacho tutakuwa tumewanyima elimu? Hata tukibisha na kutetea ccm, hii siyo dhana ya maendeleo ya mwalimu Nyerere mwanzilishi wa ccm!!! Vipaumbele vyetu katika miaka hii 5 havilengi maendeleo ya watu bali vitu!
 
Wewe mtoa mada nikuulize:-
1. CCM iliboresha maisha ya waathirika wa tetemeko kule Kagera ilipochukua michango tuliyotoa sisi ili kusaidia wahanga lakini ccm ikapeleka hiyo michango mahali pengine? Hata kama hiyo michango ilifanya kazi nzuri sana za kukarabati shule na hospitali, je serikali ilikuwa inangoja mpaka litokee tetemeko watu watoe michango ndipo watumie hizo pesa kukarabati hizo hospitali? Lisingetokea tetemeko hazingekarabatiwa?

2. Maendeleo ya vitu badala ya watu. Je, ukiboresha vipato vywa watu KWANZA si ndio watazalisha kwa wingi na kulipa kodi za kutosha kuendeleza hivyo vitu BAADA YA kuwaendeleza watu?

3. Uchumi umekua. Ndio. Lakini umekua mifukoni mwa nani? Si mfukoni mwa hao mabepari wenye machimbo ya dhahabu na makampuni makubwa yanayomilikiwa na watu wa nje? Uchumi umekuaje kwa Watanzania ambao bado wanadai pesa za mazao waliouza lakini hawajalipwa? Uchumi umekuaje kwa watu wa kawaida ambao wanakula mlo mmoja kwa siku?

4. Sikatai nchi imeanza miradi mikubwa mizuri. Lakini, wakati hiyo miradi inapojengwa halafu wafanya kazi hawaongezewi mishahara wala kupandishwa madaraja, kwa kusubiri hiyo miradi ikamilike wakati hali ya maisha inazidi kuwa ngumu siku hadi siku, je kweli huko ni kuboresha maisha ya Watanzania?

Wewe mtoa mada hebu jibu haya maswali ili Watanzania wakuelewe.
 
Nasema, bila kupepesa macho wala kumng'unya maneno, na kwa kujiamini kuwa hoja za upinzani zenye lengo la kumchafua Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, zimejaa unafiki, uzushi na ulaghai.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hoja hizo, ambazo pasipo na shaka ni VIOJA

1) Utawala wa kidikteta uliowanyima nafasi ya kufanya siasa: Serikali ya CCM imehakikisha hali ya amani na utulivu nchini inaimarika kutokana na hatua mbalimbali zilizochukuliwa za kuhakikisha wananchi wanapata fursa ya kushiriki katika shughuli za maendeleo bila kuwepo bugudha. Mifano ipo mingi km wawakilishi (madiwani na wabunge) waliendelea na shughuli zao za uwakilishi pasipo kuingiliwa. Au wafanya biashara ndogo ndogo wamepewa vitambulisho vinavyowapa fursa ya kuendelea na biashara zao popote nchini.

2) Maendeleo ya vitu badala ya vitu: Kuna upotoshaji wa hali ya juu, na wa makusudi, kwa maana halisi ya maendeleo ya watu (people-centred development). Serikali ya CCM imetekeleza mikakati iliyowezesha rasilimali za Taifa kutumika kimkakati na kikamilifu katika ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda na ustawi wa jamii, ikiwa ni pamoja na kuandaa na kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 - 2020/2. Mafanikio ya utekelezaji huo ni viashiria kadhaa vinavyoonesha umasikini umepungua na ustawi wa watu umeimarika:

√ Wastani wa miaka ya kuishi kwa Watanzania umeongezeka kutoka miaka 61 mwaka 2015 hadi takribani miaka 65 mwaka 2020;
√ Umasikini wa mahitaji ya msingi umepungua kutoka asilimia 28.2 mwaka 2011/12 hadi asilimia 26.4 mwaka 2017/18; na
√ kiwango cha umasikini wa chakula kimepungua kutoka asilimia 9.7 mwaka 2011/12 hadi asilimia 8.0 mwaka 2017/18.

3) Uchumi wa nchi umeporomoka kutokana na Sera za Serikali ya CCM zilizowafanya baadhi ya wafanya biashara kufunga au wawekezaji kuondoka. CCM kwa kutambua na kuthamini sana nafasi ya sekta binafsi katika kujenga uchumi wa kitaifa na ambao ni shindani uliojikita katika ujenzi wa Tanzania ya viwanda na katika kuleta mageuzi kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi, utalii na sekta nyingine zote.

CCM imezisimamia serikali zake kuhakikisha sekta binafsi inalindwa na kuendelezwa na kwamba haki ya kila mtu, kikundi, ushirika na kampuni ya kuendesha shughuli za uchumi na biashara kwa uhuru na kwa mujibu wa sheria zinalindwa wakati wote. Hivyo basi, Serikali ya CCM imetekeleza yafuatayo:

√ imeimarisha ubora wa miundombinu na huduma wezeshi kama vile uchukuzi, nishati na mawasiliano;
√ imeweka mazingira ya urahisi, ufanisi na uhakika wa sheria, kanuni, taratibu na utendaji wa sekta ya umma katika kuwezesha shughuli za uchumi na biashara za sekta binafsi;
√ inewezesha uwepo wa rasilimaliwatu ya kutosha yenye elimu, ujuzi na maarifa stahiki hususan katika nyanja za sayansi na teknolojia.

Matokeo ya sera na mikakati hiyo ya kiuchumi ni kama:
√Pato la Taifa limeendelea kukua kwa wastani wa asilimia 6.9 katika kipindi cha mwaka 2016 - 2019;
√ Pato la wastani la kila mtu limeongezeka kutoka shilingi 1,968,965 (Dola za Kimarekani 992) mwaka 2015 hadi kufikia shilingi 2,458,496 (Dola za Kimarekani 1,086) mwaka 2018;

Yapo mengi ya maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya CCM ambayo hakuna chama cha upinzani kinaweza kuyafanya ikizingatiwa baadhi ya hivyo vyama vimeshindwa hata kuendeleza vyama vyao km kutokuwa na ofisi za makao makuu ingawa mabilioni ya ruzuku hulipwa. Ada ya mja ni kunena, mwungwana ni vitendo.

Kwa kuwa vyama vya upinzani havina cha kuonesha ili viongozi waje waaminike, wagombea wa upinzani wanadi tu HOJA siyo VIOJA.
Wala mambo si magumu kiivyo ni rahisi tu.
Ni namna ya keleweka kwa urahisi ndugu mfano: wakati
Magufuli anasema sitopandisha mishahara ya watumishi kwani natekeleza miradi mikubwa, Lissu anasema nitapandisha mishahara kwa mujibu wa Sheria na kupandisha madaraja.
Magufuli mbaazi zichemshwe ziliwe kwani zina protein nyingi, Lissu anasema nitatafuta soko zuri la mazao, sitolazimisha mkulima kuuza kwenye vyama vya ushirika bali ntaweka utaratubu mzuri wa kuuza mazao kwa cash na faida.
Magufuli anasema mstaafu atachukuwa 25% ya mafao yake kwa mkupuo kwa kutumia kikokotoo kinacho mpunja, lissu anasema kikotoo kinacho mpa mstaafu maslahi mazuri kitatumika.
Magufuli hakuna fao la kujitoa, Lissu nitatejesha fao la kujitoa.
Magufuli anakata 15% kwa wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu, Lissu anasema ntaishusha iwe asilimia tatu.
........mambo ni mengi tusione aibu kuyasema.
 
Back
Top Bottom