leroy
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,599
- 2,161
1. ''WATANZANIA WARUHUSIWE KUPIGA KURA YA URAIS POPOTE WALIPO DUNIANI''.
2. ''KUFUFULIWA KWA NCHI YA TANGANYIKA ILIYOPATA UHURU TAREHE 09 DESEMBA 1961, NA KUUNDWA KWA SERIKALI TATU (Muungano, Tanganyika na Zanzibar) KAMA ILIVYOPENDEKEZWA NA TUME YA JAJI NYALALI.
3. iwepo haki ya kikatiba wanachi kumuondoa,kumshitaki na kumhoji kiongozi waliyemchagua pindi ikionekana amevunja vifungu vya katiba au amekiuka kiapo chake cha uongozi.
4. Matokeo ya urais yaweze kuhojiwa na kupingwa mahakamani, Rais Mstaafu aondolewe Kinga na kuburuzwa mahakamani kwa makosa alofanya akiwa madarakani.
5. Tanzania itambulike Kikatiba kuwa ni nchi ya KIBEPARI inayosadifu na kufuata misingi na nadharia za SOKO HURIA, uhuru wa mwanadamu (liberty) ambapo kila raia ana uhuru wa kuchagua (Freedom of Choice)
6. *********''TUME HURU YA UCHAGUZI''*************
7. ******ADHABU YA KIFO IFUTWE NDANI YA KATIBA****no human being is supposed to take away other human's life. LIFE IMPRISONMENT ndio iwe adhabu ya mwisho mahakamani.
8. FUTILIA MBALI NAFASI ZA VITI MAALUM BUNGENI, kipengele cha katiba kinachompa Rais uwezo wa kuchagua idadi yoyote ya mawaziri apendayo kifutwe na Rais apewe limit ya idadi.
9. Kiundwe chombo HURU chenye uwakilishi wa wananchi cha kupitisha na kuthibitisha mikataba YOTE yenye maslahi (IMPACT) ya kitaifa.
10. *******Uraia wa nchi mbili (dual citizenship)********Mtanzania awe na uhuru na haki ya kuwa na uraia wa nchi nyingine moja anayotaka.
11. *******Kuruhusu wagombea ''BINAFSI'' katika ngazi ya ubunge kwa majimbo mbalimbali na Udiwani wa vitongoji pekee*****
12. KATIBA IWEKE WAZI KUWA TAIFA LA TANZANIA LINATAMBUA UWEPO WA MUNGU (GOD), licha ya wananchi wake kuwa na dini tofauti na wengine kutokuwa na dini. PIA TAIFA LIWE NA MOTTO RASMI kama vile (United States of Africa-In God we trust) na sisi (United Republic of Tanzania-God is Great).