Hold your comments (angalia usitoe maoni)

Hold your comments (angalia usitoe maoni)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Unless of course, if you have to!!

i138_StateTz.jpg
 
Da Ebwanaaeeee, Hii I***U!.........tehe tehe. Let me Hold my Comment then
 
someone is either bored stiff or is experiencung a psychiatric moment....
 
ka-inzi labda kanapata resistant fulani, unajua hakawezi kutua kwenye moto? kanasubiri moto uzime kachukue info katuletee!

Mkjj Kenye hiyo ishu usitumie ka-inzi kadogo, tumie LILE kubwa huwa yanapatikana.. sehemu fulani. kwa hiyo siyo kainzi tena ila ni LI-JIINZI.

lenyewe huwa haliogopi harufu kali wala giza!
 
I keep on waiting......I want to comment on that which Mwanakijiji wants us not to comment.
 
Now you can comment on what you see... pick anything in the picture which seems not to be "ok"... au kitu kinachokushangaza.. au kukufanya uwe na swali..
 
Mkjj, vipi???????

Mbona watuchanginyiiii au tumichanganyikiwa!!!!!!
 
Hapo ni bongo au?
Duh. kazi kweli kweli.
Yaani jengo lazuia barabara...
 
Cha kushangaza ni uhaba wa mazingara ya kijani kwenye kibanda cha ...... Hakuna miti ya kutosha wala uoto wa majani.
Kama mazingira ya kibanda cha.... ndio haya, sera ya mazingara inaweza kutekelezeka huko kwingine?
'Charity begins at home"
 
Back
Top Bottom