Hold your comments (angalia usitoe maoni)

Da Ebwanaaeeee, Hii I***U!.........tehe tehe. Let me Hold my Comment then
 
someone is either bored stiff or is experiencung a psychiatric moment....
 
ka-inzi labda kanapata resistant fulani, unajua hakawezi kutua kwenye moto? kanasubiri moto uzime kachukue info katuletee!

Mkjj Kenye hiyo ishu usitumie ka-inzi kadogo, tumie LILE kubwa huwa yanapatikana.. sehemu fulani. kwa hiyo siyo kainzi tena ila ni LI-JIINZI.

lenyewe huwa haliogopi harufu kali wala giza!
 
I keep on waiting......I want to comment on that which Mwanakijiji wants us not to comment.
 
Now you can comment on what you see... pick anything in the picture which seems not to be "ok"... au kitu kinachokushangaza.. au kukufanya uwe na swali..
 
ohhh .... my laaaaawwwwwdddddd ......

Wewe Mkjj unataka balaa...... umekunywa nini leo?!
 
Mkjj, vipi???????

Mbona watuchanginyiiii au tumichanganyikiwa!!!!!!
 
ohhh .... my laaaaawwwwwdddddd ......

Wewe Mkjj unataka balaa...... umekunywa nini leo?!

labda anataka tucomment kwenye mananiii ya jamaa ambaye mtoto anashanga woooooowwwwww............Lol maana ndio picha ninayoiona
 
Hapo ni bongo au?
Duh. kazi kweli kweli.
Yaani jengo lazuia barabara...
 
Cha kushangaza ni uhaba wa mazingara ya kijani kwenye kibanda cha ...... Hakuna miti ya kutosha wala uoto wa majani.
Kama mazingira ya kibanda cha.... ndio haya, sera ya mazingara inaweza kutekelezeka huko kwingine?
'Charity begins at home"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…