Hold your comments (angalia usitoe maoni)

Inabidi mkazi wa hiyo kasri asifiwe kwa kutochezea ovyo mali ghafi ya maji ambayo sehemu kubwa ya watanzania wanaihangaikia! Hii ni dalili ya uzalendo wa hali ya juu!

Amandla........
hahahahahahahahaha du jamani umenichekesha
 
mwkjj

usiende mbali huko kote we tupe ya US embassy tu hapa tz ili tukompeee
 
Halafu kuna watu kule Ikulu bado wanakataza kupiga picha? Tehe tehe tehe!
 
US Embassy in Tanzania

This is imposibo;.. mbona uko kama Marekani labda kwa sababu wana hela nyingi na wao ni taifa kubwa maana tofauti ya majani ndani ya huo Ubalozi na nje ya kuta zake ni kama mchana na usiku vile! Hivi tukihamisha Ikulu na kuiweka humo na Ubalozi kwenda Magogoni.. yawezekana tukaacha hizo nyasi zikauke tena..?
 
Amakweli wakenya wenzetu wametuacha mbali.... Hebu tazama ikulu hiyo ilivyo simama.

I mean basics tu... kama utunzaji wa mazingira nayo tunataka kumsingizia Mwalimu kwa vile alileta ujamaa... Hukawii ukakuta kuna mtu anakula mshahara kila mwezi kama gardener wakati anaishia kuzunguka zunguka tu muka ina shine chini.
 
he he he mflame hajavaa nguo. Lakini mbona wale ndege wanaoitwa tausi waliokuwepo zamani kweli lile banda hawapo, eh au wamepeperuka wote!! inasikitisha sana kuona banda letu liko kama shule ndeefu
wote wamekimbilia oysterbay na ada estate.siku moja tausi alitua kwenye nyumba ya rafiki yangu kasheshe ilizuka kati ya tausi na kuku.kuku walikuwa wanamkimbia tausi ili hali tausi alikuwa anawafuata kuku kazi ilikuwepo.
 

...MM, ushasahau upatikanaji wa maji 'uswazi' Dar ni kimeo? ...ajabu ya NUWA, nje na ndani ya ubalozi huo sprinklers zinanyunyisha tu maji.

...na priorities vile vile ndugu yangu, sie majani 'ya ukoka' ala mbuzi, sio urembo πŸ™
 
Hizi picha za zamani kidogo ila kwa haraka haraka naona lawn ilikuwa ya kijani vizuri tu.


 
Hizi picha za zamani kidogo ila kwa haraka haraka naona lawn ilikuwa ya kijani vizuri tu.

...aaah πŸ˜€,

...kipindi hicho si majani tu, hata hospitali ya amana iling'ara, wagonjwa walivishwa pajama, na kupewa milo mitatu incl chai nzito na mayai.

...unakumbuka Clinton alipopita "transit" KIA mwaka ule lami ilipigwa deki kwa Omo?
 
...aaah πŸ˜€,

...kipindi hicho si majani tu, hata hospitali ya amana iling'ara, wagonjwa walivishwa pajama, na kupewa milo mitatu incl chai nzito na mayai.

...unakumbuka Clinton alipopita "transit" KIA mwaka ule lami ilipigwa deki kwa Omo?

Ile aerial picture ya Google Earth ni at least 2-3 years old, tafuta zile picha za JK anawaapisha majaji au mkuu wa majeshi nyasi zilikuwa zimenawiri vizuri tu.
 
Mkuu Icadon,

Hio satellite shot ya jumba kuu ukiitazama vizuri, utaona kuna ka small area upande wa bahari kametunzwa vizuri tu na kana kaperimeter fence nyeupe. Nafkiri hio fence nyeupe inaonekana hata kwenye hiyo picha ya juu ya Bush na JK...Mgogoro unaanza nyuma ya hako kaperimeter fence nyeupe kwenda mpaka kwenye main fence upande wa bahari..... ni vurumai tupu, like no man's land!
 
Mtunzaji wa hiyo Bustani ni shamba-boy au mtaalamu wa kilimo (bwana shamba)?

Nadhani tatizo linaanzaia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…