Mwakilishi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 483
- 34
Mkuu siyo tu kwamba information zake ni za kweli bali ni Logical vilevile.Haya majina kama:Sheraton,Holiday Inn,Hilton ni Registered Trade Names,na nnaelekea kufikiri licha ya Kulipia matumizi ya Majina haya katika Biashara husika,ni LAZIMA pia ku-meet,maintain the spleandid Services offered by the likes of the Trade names available around the World.Kama information zako ni za kweli ninashukuru kwa ufafanuzi!