Hakuna lolote la ajabu pa kawaida sana na mwezi wa sita huu full masweta mle ndani nilikesha pale siku ya mtikisiko na nilifanikiwa kupata kigegedwa pale
Kwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.