Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Inabidi muanze kutongoza with an air ticket, si mmeona mchakato wetu wa kupelekwa spain for holidays?
King'asti wewe si una ndege yako tayari? hahahahah lol! Ukiweka 200km/per hour na ile mashine yako yenye nguvu basi unahitaji masaa machache tu kuzuka katika jiji lolote lile EU 🙂🙂
afadhali mtupeleke vakesheni
Baba, hii ndege yangu haivuki maji,ndo tatizo. Afu usisahau kama mi nna ndege inabidi nipate kibabu chenye boeing kabisaa! Tunasafiri wawili tu, marubani wetu 2 na air hosts 2, baaasi! Chezeya airforce 2 eeh?
Baba, hii ndege yangu haivuki maji,ndo tatizo. Afu usisahau kama mi nna ndege inabidi nipate kibabu chenye boeing kabisaa! Tunasafiri wawili tu, marubani wetu 2 na air hosts 2, baaasi! Chezeya airforce 2 eeh?
We ukiweka mbawa tu utaona inavyofanya vitu vyake, 🙂🙂🙂 vibabu achana navyo banaaa. Kuna mdada mmoja (yuko Dar) bomba sana yaani Mungu kampendelea yule dada ana kibabu chake lakini hana hata raha ingawaje kibabu kimemfanyia vitu vingi mno. Ana machine moja kama ya kwako akiingia mle ndani anapendeza sana lakini wala haogopi kusema kwamba hana raha ya kuwa na kibabu ila anaogopa kuwa na njemba maana kibabu kikijua anadai kinaweza kumkimbia naye atashindwa kujitunza maana yupo yupo tu.
Sasa mie raha yangu ni kua 'sipo sipo' kama huyo mdada! Kwa hiyo kibabu kinakuwepo na small house (The Boss, 2011) kama 2 hivi. Sina nafasi ya kukosa raha. Aisee hebu nifanyie mpongo niende hiyo gereji yako nikafungwe mbawa. Ila sasa kwa km 200/hr huko spain si tutafika mwakani? Manake shurti kujaza mafuta zenj, then madagascar,kha! Ama kuwe na jet ya US ARMY inakuja kunifuel hewani kama zile ndege za jeshi?
kingasti mbona unachakachua mada...
hahahahah lol! kuna mahali wana utaalamu wa hali ya juu wa kuongeza ukubwa wa tangi ambao unaweza kufika mpaka Dubai 🙂🙂 na pia kufunga mbawa 🙂🙂 pale unaweza kulala kwa siku mofa na kufanya shoppingi ya nguvu kabla ya kuruka hadu jiji ulitakalo EU. Kuhusu "sipo sipo", nilitaka nikwambie usome signature yako lakini naona umeiondoa 🙂🙂