M Mbogo New Member Joined May 15, 2010 Posts 3 Reaction score 0 Jun 1, 2010 #1 Natumaini mpo shwari kabisa. Nipokeeni kama mmoja wenu,katika kubadilishana mawazo juu ya kinachoendelea hapa bongo na ulimwengu wote. Michango kwa ujumla ni mizuri,na ndio nimevutika kuwa mwanachama kabisa. Asanteni!
Natumaini mpo shwari kabisa. Nipokeeni kama mmoja wenu,katika kubadilishana mawazo juu ya kinachoendelea hapa bongo na ulimwengu wote. Michango kwa ujumla ni mizuri,na ndio nimevutika kuwa mwanachama kabisa. Asanteni!
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,741 Reaction score 272 Jun 1, 2010 #2 Karibu sana mbogo.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Jun 1, 2010 #3 welcome mbogo..
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Jun 2, 2010 #4 Tuko Bomba karibu
Dreamliner JF-Expert Member Joined Jan 17, 2010 Posts 2,034 Reaction score 214 Jun 2, 2010 #5 Karibu sana... Tupotupo.