Homa imenizidia mie!

Kama una watoto halafu huwa unaangalia nao katuni.
Rejao ana behave copyright kama Tom akimuona msichana afu akamdondokea, huwa ana mbwembwe, mara kachana nyusi na brashi, kalamba sharubu zake, tafuta gitaa fanya mazoezi ya maneno ya kumwambia, by the time anaenda kwa msichana anakuta Jerry kishaharibu.

Mwache ajiandae wajanja waharibu

mkuu unabahati sana. Hadi unabembelezwa. Mimi nimezoea kubembeleza tu.
 
Halafu we Kongosho una akili sana!! Umejuaje wengine huku ni madomo zege? Tunaishi tu kwa zali!! Tusipodondokewa ndio basi tena.
 
Acha kuwa nyoka wa maonesho, tema tu mate hata kama hayana sumu.
Unajua hata kama huwezi pigana huwa tunaonesha Moyo wa Hasira. Onesha tu hata moyo wa hasira inatosha.

Halafu we Kongosho una akili sana!! Umejuaje wengine huku ni madomo zege? Tunaishi tu kwa zali!! Tusipodondokewa ndio basi tena.
 
Halafu kuna huu wimbo uan kiitikio

"pole Zinduna nakupa pole Zinduna (nakupa pole Zinduna)" sikumbuki wameimba kina nani tena
 
Halafu kuna huu wimbo uan kiitikio

"pole Zinduna nakupa pole Zinduna (nakupa pole Zinduna)" sikumbuki wameimba kina nani tena

Kama sikosei itakuwa ni Biashara Jazz..................... Sie wazee wa zamani tunakumbuka mengi.
Hebu Mzee mwenzangu Bishanga aje atusaidie kama nimekosea.
 
Halafu kuna huu wimbo uan kiitikio

"pole Zinduna nakupa pole Zinduna (nakupa pole Zinduna)" sikumbuki wameimba kina nani tena

Walikuwa wanaitwa KIMULIMULI

Wimbo unaitwa Kisa cha Foto Album

Chini ya uongozi wake Ali Zahir Zoro

Search kwa You Tube utapata ulikuwa wimbo mzuri sana nakumbuka baadhi ya mistari:


Wameniambia mambo yako mama eee

Wamenieleza matatizo ya mume wako eee

Na kisa cha we Sheri Zinduna kufika kupewa TALAKA!



Wameniambia mambo yako mama eee

Wamenieleza matatizo ya mume wako eee

Japo mwenyewe hukutaka wanambie siri yako moyoni



(Foto Album inaleta maneno katikati ya mji wa Mwanza

Kisa ni picha ilopigwa zamani katikati ya Dar-es-Salaam'a) x 2



(Chorus)

Sheri Zinduna nakupa pole Zinduna eee

Sheri Zinduna nakupa pole Zinduna eee
 
Wow wow asante sana mkuu tdavie
 
Huo wimbo sio, wa mlimani park, ni wa Oss, orchestra safari sound, utunzi wake Hassan rehani bitchuka, waimbaji skass kasambula chibanda sony, Maalim Gurumo, kwenye guitar la soro Kassim Rashid kizunga, huo wimbo ulitoka rasmi mwaka 1987, na mtindo wao ulikuwa ndekule ngoma.
 
Kula chuma hicho
 
Once upon a time. Old schools.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…