Homa ya Dengue

Incredible

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,031
Reaction score
1,603
Homa ya Dengue ,nitajitahidi kutafsiri kwa Kiswahili ila naomba radhi pale ambapo nitakosea

Dalili zake huanza siku 4 mpaka 10 baada ya maambukizi. Dalili zenyewe ni:

1. Homa kali naya ghafla- sudden high, fever

2. Kichwa kuuma sana- severe headache

3. Macho kuuma- pains behind the eyes

4. Maumivu makali ya misuli na joints- Severe joint and muscle pain

5. Kutapika

6. Mabaka kwenye ngozi- skin rash

7. Kutokwa damu hasa puani

8. Kichefuchefu

Tuna ambukizwaje ugojwa

Mbu ndo chanzo chake na wanasambaza virusi vya huu ugonjwa.

Tumtibu vipi mgonjwa

Kwakuwa ni virus basi hakuna dawa maalum ya kutibu ila dakari au wewe na mimi twaweza fanya yafuatayo:

1. Tumia oral yaani nunua pakti ya oral (chumvi na sukari) mpe mgonjwa anywe. Hii ni kurudishia maji yaliyopotea kwa kutapika na homa kali.

2. Mpe Panadol au paracetamol

3. USIMPE MGONJWA ASPIRINI HIYO NI HATARI KWANI ITACHOCHEA INTERNAL BLEEDING


Tiba mbadala

Nchi kama Sirilanka, India, na Malaysia wao wanaitibu kwa majani ya mpapai.

1. Chuma jani la mpapai na ulioshe

2. Saga au twanga au blend kasha kamua upate juisi yake.

3. Mpe mgonjwa vijiko 2/3 – india wanachanganya na asali kidogo

Preparation of Papaya leaf juice for curing dengue fever - YouTube
Tazama na hiyo video
 
Tiba ni majani ya mpapai,unatuanga na kunywa maji yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…