Uchaguzi 2020 Homa ya Urais Zanzibar yazidi kupanda; Waziri wa Maji na umwagiliaji Makame Mbararawa ajitosa kuchukua fomu za urais kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Homa ya Urais Zanzibar yazidi kupanda; Waziri wa Maji na umwagiliaji Makame Mbararawa ajitosa kuchukua fomu za urais kupitia CCM

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
IMG_0576.jpg
 
Tuliowatarajia wanaendelea kuchukua form.

Mh. Mohamed Aboud, nenda ukachukue fomu ili mtanange uanze.
 
Tatizo ni moja tu, rais wa SMZ anawekwa na wabara, na yeye anajua kabisa tokea awali kwamba yuko pale kwa msaada wa bara, hivyo anakua kama anafuata maelekezo kutoka bara.

Gwanda limemkaa kisawasawa Prof.
 
Back
Top Bottom