Relief Mirzska JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 13,992 Reaction score 22,396 Jun 19, 2020 #2 Tuliowatarajia wanaendelea kuchukua form. Mh. Mohamed Aboud, nenda ukachukue fomu ili mtanange uanze.
Tuliowatarajia wanaendelea kuchukua form. Mh. Mohamed Aboud, nenda ukachukue fomu ili mtanange uanze.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Jun 19, 2020 #3 Tatizo ni moja tu, rais wa SMZ anawekwa na wabara, na yeye anajua kabisa tokea awali kwamba yuko pale kwa msaada wa bara, hivyo anakua kama anafuata maelekezo kutoka bara. Gwanda limemkaa kisawasawa Prof.
Tatizo ni moja tu, rais wa SMZ anawekwa na wabara, na yeye anajua kabisa tokea awali kwamba yuko pale kwa msaada wa bara, hivyo anakua kama anafuata maelekezo kutoka bara. Gwanda limemkaa kisawasawa Prof.