Ugonjwa huu husababishwa na vimelea mbalimbali vya makundi ya bakteria, virusi na fangasi.
Bakteria kama vile Beta-streptococci pneumoniae, Homophilus influenza, Virusi ni kama Herpes simple type 2, HIV pamoja na Varicella zoster, kwa upande wa fangasi ni Coccoidiodomycosis pamoja na Cryptococci meningetides.