Homa za mala kwa mala kwa watoto bila sababu

Homa za mala kwa mala kwa watoto bila sababu

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Kwa ambae ana mtoto anasumbuliwa na homa mala kwa mala hasa wakati wa usiku,
Na mala nyingi akimpeleka mtoto hospital anashindwa kutambua hasa nn chanzo cha mtoto kuchemka na kua na joto jingi.

Anitafute kwa ushauri na tiba. Kwa kunitumia ujumbe private sms (PM me)

By dr. Suriya
 
Mara kwa mala!! Hebu kuwa serious bana!! [emoji848][emoji848][emoji848][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Ule ugonjwa wako wa maLa kwa maLa bado haujaisha tu
 
Sawa atakutafuta kwa ushauri na tiba huko PM.
 
Back
Top Bottom