Unajua kale kautamu ka wake wawili watu huwa tunajisahau kwamba kuna siku mtu utakuja ondoka hapa duniani na kushindwa hata kuandika will kabla hujafa,kitu ka hicho kiliitokea family yetu baada ya brother wangu kufa ghafla sana kwa heart attack lakini kizuri zaidi will ilikuwa ameiandika na kuna lawyer fulani aliileta kilioni na issue ikawa ressolved kirahisi sanawanaume tusijisahau sana na utamu.M/Mpamba.