Home Appliances are going cheap, Bujibuji nimevurugwa

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320


















Grand home theatre Sony only 2'500'000/=
Furniture coaches and stools price negotiable.
Mashine ni mpya na iko kwenye hali nzuri. Usipoteze na fursa hii.
Call 0715886772, 0767886772, 0735886772
 
Uo mziki ndioaana saa nyingine unapost vitu havieleweki maana huo unakua immersed dunia nyingine kabisa
 
Kwa kweli huu nyumbani lazima pageuke disco na mtaa utashitakiwa kwa kufanya noise pollution [emoji6]
Majirani hawakubali huu upigwe
 
Bujibuji, hiyo mashine imetumika kwa muda gani? Manake umesema "mpya" na "ipo katika hali mzuri"
 
Miezi mitatu tuuu....
Naiuza sababu inasababisha jirani Yangu na mkewe wagombane kila Siku, mke anataka mumewe anunue mziki kama huu, amechoshwa na ma sub woofer ya kichina
Halafu mi sijui bado mshamba au ni old school, kwenye haya ma-sub woofer bado kabisa hayajanishawishi manake naona mengi yake hayafikii hata Sony MHC-GNV111D ambayo niliinunua miaka 12 iliyopita! Ndo vile tu, nilisafiri ikakaa muda mrefu haijatumika nikakuta imejaa mavumbi kibao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…