Home ideas: wall painting

Home ideas: wall painting

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kwenye ujenzi wa nyumba hakuna kitu kinakula gharama na kuleta stress karma 'finishing'
Leo tutaangazia kipengele cha urembo wa kwenye kuta.. Hapa badala ya kubandika mapichapicha yenye gharama na yanayoweza kuharibika kwa kuchakaa ama kuangushwa basi suluhu nyingine rahisi ni kuchora picha kutani.. Maarufu kama wall painting
Kama wewe ni mpenzi wa vitu unique unaweza kujaribu hata kwenye baadhi ya kuta zako nyumbani
Ifuatayo ni baadhi tu ya michoro
1738505216117.jpg
 
Kumbuka kuchagua rangi pamoja na picha zilizotulia.. Maana rangi na picha vina mahusiano ya moja kwa moja na ufahamu/roho yako
 
Hii nzuri unakuwa kama upo nje na mtu pembeni. Aina ya picha napenda mie nitajisikiaje niliangalia au itanipa mawazo gani kwa ajili ya nini... 😊
Wengi hatuna muda wa kutembelea sehemu zenye mazingira tulivu.. Ukiweza kuwa na kuta Zenye mandhari nzuri zinatuliza sana akili
 
Back
Top Bottom