Kile kitu Cha miguu nakipataje?Karibu ndugu mteja tukuhudumie umependa bidhaa ipi boss?
Unataka toa gaga na mashine sio kusugua na jiwe.Kile kitu Cha miguu nakipataje?
Hapana hapo ni old fashionUnataka toa gaga na mashine sio kusugua na jiwe.
Na nyingine hiyo ,ni multifunction inaitwa 10 in one ,inafanya vitu vingi kwa wakati mmojaKuna mahali nilienda kupata juice nikaletewa juice nzito kama vile haijachujwa,nikadhani kuna Brenda za kufanya hivyo je n kweli zipo??mnazo??mnauzaje??