Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
Habari?
Katikat pitapita mitandaoni na kusoma vitabu tofauti tofauti juu ya hizi mashine za kutotolesha vifaranga nimefanikiwa kutengeneza Moja yenye uwezo wa mayai 33.
Na nimefanya majaribio mara mbili imekuwa na ufanisi wa 100% yaan imetotoa vifaranga 66 kwa awazo zote mbili.
Ili uweze kutengeneza mashine hii unahitaji:
1. Box Moja lenye vipimo vya
a. Upana 30 cm
b. Urefu 33 cm
c. Kina 30 cm
2. Bulb watts 40
3. Bakuli dogo la kuwekea maji
Halafu unganisha kama video inavyoonyesha