Iko kibango nimekipenda design yake mkuu, 🥰.. Sasa nimtafute fundi michael
Mkuu heshima yako nimekutafta inbox imeshindikana nilikuwa naomba mawasiliano yako kuna jambo naomba unisaidie.
Chief heshima yako nashindwa kukutext inbox nina Jambo fulani nahitaji msaada