Umenibambaje sasa?
Hiyo pesa unalipia kwa dola unajua exchange rate ya mtandaoni ni bei gani?
Kuna charge ya kutuma pesa unajua ni bei ganj?
Kuna kuisafirisha mpaka kwa agent unajua ni bei gani?
Kuna agent fee ya kuileta mpaka Tanzania unajua ni bei gani?
Kuna kuifuata ama agent kukuletea ulipo sio bure zote hizo ni gharama
Piga hesabu uone kama utapata hiyo bei yako ya 7000..
Tofauti na hapo jaribu free shipping ndio utapata kitonga Lakini ikifika posta bongo kama sio registered parcel utalipa si chini ya 5000