juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Anahusiana Vipi Na Post Yangu Mkuu...anaitwa Carlos Bacca Ahmada
Anahusiana Vipi Na Post Yangu Mkuu...
Kuna mambo Montella anapaswa kuyafanyia kazi otherwise atatimuliwaanaitwa Carlos Bacca Ahmada
Kuna mambo Montella anapaswa kuyafanyia kazi otherwise atatimuliwa
1.Afanyie kazi safi ya ulinzi hii ndio inaangusha timu na ukizingatia tuna golikipa bora ,ni aibu Milan iliyokuwa na defence ya kina Maldini,Baresi,Costacurta,Kaladze,Stam inakuwa inafungwa magoli ya kizembe
2.Amalize bifu lake na Bacca huyu yupo kwenye top 10 ya namba 9 bora wanaocheza ulaya na alikataa offer nyingi sana(PSG,West Ham,Napoll,Atletico ) ili abaki Milan huu ugomvi ukiendelea huenda akahama msimu ujao
Hongera zako mkuu lakini mna hali mbaya sana. Mnahitaji mtu wa aina Carlo Ancelloti. Afu muifanyie over haul timu nzima. Ndio mtaweza kwenda sawa na kina juve Napol na roma. Hivi tatizo ni nini lakini.Sampdoria 0-1 AC Milan
Hongera zako mkuu lakini mna hali mbaya sana. Mnahitaji mtu wa aina Carlo Ancelloti. Afu muifanyie over haul timu nzima. Ndio mtaweza kwenda sawa na kina juve Napol na roma. Hivi tatizo ni nini lakini.
Milan imebaki brand tu.
2-1 inter Milan akiibuka mshindi.mechi ya Juve na Inter imeishaje?
baba wa kweli ni yule anaefatilia familia yake...nyie ndio wale kwenu kuna tetemeko then mnasema tetemeko hilo halijaletwa na wewe wala chama chako
2-1 inter Milan akiibuka mshindi.
Inter walikuwa wanacheza high pressing game ambayo inawasumbua Juve.haya tueleze chanzo cha kipigo hicho...
Inter walikuwa wanacheza high pressing game ambayo inawasumbua Juve.
De Boer aliwatumia Medel na Candreva kuwabana Bonucci na Chielini ambao hutumika na Juve kutengeneza mashambulizi kutokea nyuma.
Inter walicheza kwa determination bila kupoteza umakini,kitu ambacho Juve hawakufanya.
Kwa muda mrefu wa game Juve walikuwa kama vile wapo training ground,hawaraise tempo,wanapoteza mipira hovyo,wako mbali baina ya mtu na mtu I mean hawafungui vyumba huku wenzao Inter wakistrech out uwanja.
Allegri anaonekana kushindwa kuipanga timu yake ya sasa.
Higuain alikaa benchi na kuingizwa zikiwa zimebaki dk chache huku Mandzukic akishindwa kufurukuta na kuonekana mzito sana.
Pjanic alipewa deep lying midfield role ambayo ilimsumbua sana.
Asamoah alipangwa na Pjanic pale kati,ndiye aliyeongoza kwa kupoteza mipira mingi na pasi za hovyo.
Higuain na Pjaca waliingizwa dk za mwisho na kuleta uhai but all in all absence ya Pogba,Morata,Tevez,Vidal,Pirlo inaonekana kuitesa Juve hasa kwenye creativity katikati ya uwanja na katika kutengeneza killer balls kwa strikers.
Hata hao waliopo Allegri anashindwa kuwapanga,sielewi kwa nini Pjaca na Cuadrado hawatumii.
AC MILAN <> CHIEVO VERONA ....saa 21:45 Leo.
Chievo 1-3 Milan...
Hongera kaka, naona vijana wamejituma sana, so mna tofauti ya point 5 na juve, mpo nafasi ya 3. next match mtacheza na Juve 22/oct san siro....
Juve wanakuja machinjioni