Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #2,761
If i may ask.... what is the cause for the recent downfall of AC milan in the past few years while they have financial and human resource capacity??? Because its no longer a threat to top european clubs as it used to be back then with the likes of super pipo and shevchenkoAC Milan are set to complete the signing of in-demand Atalanta midfielder Franck Kessie, after the Ivorian rejected a move to Roma
Mmmh huyo mussachio ndio mwisho wa matatizo....wakimpata wamemaliza kaziTetesi zilizopo ni kwamba AC Milan watawasajili
Matteo Mussachio
Ricardo Rodriguez
Frank Kessie
Pia Milan inafanya mipango kuwaongezea mkataba kipa Donnarumma na Suso na kumsajili moja kwa moja Deloufeo kutoka Barcelona
Moja ya nguzo za Milan siku zote ni beki imara kuanzia kina Baresi,Desailly,Maldini,Nesta,T.Silva kwa sasa tatizo kubwa la Milan ni beki mbovu licha ya kuwa na kipa imara.Mussachio ilikuwa aje last season Romagnoli amepata patner wa kuanzia,kumbuka imekuwa ngumu kuwapata wachezaji wazuri sababu Milan bado hawana uhakika kucheza michuano ya UlayMmmh huyo mussachio ndio mwisho wa matatizo....wakimpata wamemaliza kazi
Ila mbona matokeo yao yanasua sua cku hizi hta milan derby imeisha umaarufu kabisa shida ni nini mkuu kma pesa na rasilimali watu mbona wanazo kina carlos bacca na adriano mbona wachezaji wazuri why underperformanceMoja ya nguzo za Milan siku zote ni beki imara kuanzia kina Baresi,Desailly,Maldini,Nesta,T.Silva kwa sasa tatizo kubwa la Milan ni beki mbovu licha ya kuwa na kipa imara.Mussachio ilikuwa aje last season Romagnoli amepata patner wa kuanzia,kumbuka imekuwa ngumu kuwapata wachezaji wazuri sababu Milan bado hawana uhakika kucheza michuano ya Ulay