Adriano hayupo ac millan mkuu, carlos bacca amedrop sana kiwango japo montela huwa anampanga hivo hivo, saiz attacking force ya millan inaongozwa na delofeou, suso na ocampo/Fernandez/lapadulaIla mbona matokeo yao yanasua sua cku hizi hta milan derby imeisha umaarufu kabisa shida ni nini mkuu kma pesa na rasilimali watu mbona wanazo kina carlos bacca na adriano mbona wachezaji wazuri why underperformance
Ac milan wamekumbwa na matatizo mawili la kwanza ni kutokuwa na pesa kwasababu raisi wa timu na ndiye mmiliki wa timu (balusconi) alikuwa hana tena pesa za kuiweka timu katika ushindani. Mpira pesa mkuu, na swala la pili ni kutowekeza katika vijana chipukizi kwahiyo wakina Gatuso, maldin, inzagh, cafu, na wengineo walipo maliza kipindi chao cha kucheza soka (walipo stafu) ndio wakaondoka na milan yao. Timu ikabakia na wachezaji wa hovyo hovyo halafu kutokana na mmiliki wa timu kutokuwa na pesa ambaye ni baluscon basi Gallian akabadilisha sera za usajili badala ya kuchukua wachezaji wanaotisha ulimwenguni, akawa ana sajili wachezaji wasiopata namba kwenye vilabu vyao. Ac milan imekuwa inaundwa na wachezaji wengi sana wasiokuwa katika kikosi cha kwanza kwenye klabu zao. Kutokana hali ya timu kuwa mbaya kutokana na ukata ndipo mmiliki wa timu akaamua kuiuza timu kwa wachina. Kwahiyo tuone next project ya milan mpya kupitia wachina.Ila mbona matokeo yao yanasua sua cku hizi hta milan derby imeisha umaarufu kabisa shida ni nini mkuu kma pesa na rasilimali watu mbona wanazo kina carlos bacca na adriano mbona wachezaji wazuri why underperformance
Dealofeou naye ni tegemeo milan??? Naanza kuelewa ssa kwanni timu inasua suaAdriano hayupo ac millan mkuu, carlos bacca amedrop sana kiwango japo montela huwa anampanga hivo hivo, saiz attacking force ya millan inaongozwa na delofeou, suso na ocampo/Fernandez/lapadula
Dealofeou naye ni tegemeo milan??? Naanza kuelewa ssa kwanni timu inasua sua
Ac milan wamekumbwa na matatizo mawili la kwanza ni kutokuwa na pesa kwasababu raisi wa timu na ndiye mmiliki wa timu (balusconi) alikuwa hana tena pesa za kuiweka timu katika ushindani. Mpira pesa mkuu, na swala la pili ni kutowekeza katika vijana chipukizi kwahiyo wakina Gatuso, maldin, inzagh, cafu, na wengineo walipo maliza kipindi chao cha kucheza soka (walipo stafu) ndio wakaondoka na milan yao. Timu ikabakia na wachezaji wa hovyo hovyo halafu kutokana na mmiliki wa timu kutokuwa na pesa ambaye ni baluscon basi Gallian akabadilisha sera za usajili badala ya kuchukua wachezaji wanaotisha ulimwenguni, akawa ana sajili wachezaji wasiopata namba kwenye vilabu vyao. Ac milan imekuwa inaundwa na wachezaji wengi sana wasiokuwa katika kikosi cha kwanza kwenye klabu zao. Kutokana hali ya timu kuwa mbaya kutokana na ukata ndipo mmiliki wa timu akaamua kuiuza timu kwa wachina. Kwahiyo tuone next project ya milan mpya kupitia wachina.
Delofeou kaimprove sana tangia kafika milan, hadi kufikia kuitwa kwenye NT si mchezo.Dealofeou naye ni tegemeo milan??? Naanza kuelewa ssa kwanni timu inasua sua
Toka wamenunuliwa na wachina at least kuna majina ya maana wanakua linked nayo, Aubameyang, Frank kessie na Riccardo Rodriguez wote ni wachezaji wazuri na experienced players except kessie japo ni mzuri lakini sio experienced.Milan Hawajifunzi. Always Signing Average Players. And Their Academy Is Shit Shit Shit!!
Timu Haina Consistency. Hadi Kero. Ukiona Wanacheza Na.Sassuolo Genoa Sampdoria Udinese Lazio Fiorentina Etc Unakua Ushajua Wanapoteza Points. Acha Nisiseme Ela Nlizopoteza Kwa Kubet Kisa Milan Anacheza Home Kafungwa Adi Na Empoli. Wtf??Toka wamenunuliwa na wachina at least kuna majina ya maana wanakua linked nayo, Aubameyang, Frank kessie na Riccardo Rodriguez wote ni wachezaji wazuri na experienced players except kessie japo ni mzuri lakini sio experienced.
Wanachotakiwa kufanya ni kuhakikisha wanawabakisha wachezaji wao muhimu kama Donarumma, Locattel, suso, ocampo (amekua akicheza vzr sana mechi za huku mwishoni) na ikiwezekana wamchukue jumla delofeou
Utakufa na presha we Mzee*31 years ago, Silvio Berlusconi's first ever purchase was Dario Bonetti, a CB, from Roma. (source: MN)*
*Fassone first signing is Musacchio.... A CB*.... *can u relate?*
Utakufa na presha we Mzee
Mpaka tumelikinai hili kombe, lakini nani wa kutusimamisha?Najenga timu...
Kama msimu huu umebeba ndoo kwa tofauti ya alama 4 basi msimu ujao sahau