Home of AC Milan, Official Thread

Kwa wachezaji hawa wa Mbuzi kafia kwa Muuza Supu sidhani Msimu wa 2015 watarudi...

Watarudi kama safari hii hawataqualify kucheza Europa League.
Mkuu hata Tembo akonde vipi hawezi kufanana na mbuzi

Forza Rossoneri
 
Nyie acheni tu!miaka hii waitaliano kazi tunayo.Yaani nimeamka kichwa kinauma,nusra nizichape na konda asubuhi!ntacomment baadae ngoja hasira ziishe wakuu!
 
tatizo la Milan linahusiana na mmiliki wake muda mwingi alikuwa anaitumia hii timu ili kupata umaarufu kisiasa lakini baada ya kuona uwezekano wa kurudi kwenye siasa ameitelekeza ameacha kununua wachezaji bora badala yake amekuwa akiuza wachezaji bora,ameacha kuleta kocha wa maana kiukweli Serdoff hana uwezo wa kuongoza timu kubwa kama ile anaongea sana kuliko vitendo wachezaji kama Bonera,Essien,Abate hata Abbiat sio wa kuchezea Milan Abbiat amepitwa na wakati hawana mfungaji sahihi wameshindwa kupata wafungaji kiukweli managementi inastahili kubeba lawama zote
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
He he he he he he he he he!!!
Hi hi hi hi hi hi hi hi hi hi!!!!!!!
Ho ho ho ho ho ho ho ho!!!!!!
Hu hu hu hu hu hu hu hu hu!!
 
Ac Milan mnacheza mpira mzuri sana na nnaweza nikasema ninyi ndio Team pekee ambayo ina kikosi bora zaidi hapa duniani na hiki kikosi mlichonacho hakijawahi tokea kabla ndani ya Milan. Mkiendelea na mpira huu mimi nawaambia mtafika mbali sana ktk ulimwengu wa Soka, mna Kocha mzuri, wachezaji wazuri, Bora Uongozi, na mashabiki walio na uzalendo na timu yao. Mnacheza Soka la kuvutia sana, hata Barcelona wangependa wacheze kama nyie.
 


heh heh heh ngoja nduguyo Gutierez akatize kwenye huu uzi...dah atabwabwaja ile mbaaaya...

Ila all in all hongereni.
Ila robo final na Bayern tena.
 


kaahidi msimu ujao atahakiki Milan inarudi Milan ilee ya 1989...
 
Chomba pole sana safari maswahiba mengi yamekukuta,nitakaza moyo,au ndio msafiri kafiri
 
AC Milan targeting Europa League


Playing in the Europa League next season is AC Milan’s primary aim following their elimination from the Champions League, according to general manager Adriano Galliani.

The Rossoneri went down 5-1 on aggregate to Atletico Madrid after a 4-1 defeat at the Vicente Calderon on Tuesday, seeing their European campaign end prematurely.

Inter Milan faded towards the end of last season and missed out on the Europa League, without showing too many regrets. However, Milan are intent on closing a nine-point gap on their city rivals and ensuring they will still represent Italy in Europe next season.

"It's not at all true that Milan don't want to play in the Europa League," Galliani told Milan Channel. "Qualifying for it will be our club's objective between now and the end of the season.

"We need to beat Parma on Sunday to move to within five points of the Gialloblu. Milan have always been in Europe in recent years and so we want to remain in Europe."

Sixth place will almost certainly be enough for a berth in the Europa League next season, unless one of third-placed Napoli or fourth-placed Fiorentina -- the Coppa Italia finalists -- drop to seventh in the table.

Eight points separate Milan from Parma in sixth, but with 20 points to make up on Napoli in the 11 remaining league games, a place in the Champions League next season seems beyond them.

Milan last failed to qualify for the Champions League in 2008. They were eliminated from the 2008-09 UEFA Cup by Werder Bremen in the last 32 and have not gone beyond the quarterfinal stage of the Champions League since winning the trophy in 2007.

The last time the Rossoneri failed to qualify for any European club competition was in 1998, when they finished tenth in an 18-team Serie A, also missing out on a place in the Intertoto Cup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…