Beki mbovu sana
Chomba anachungulia kwa mbali..teh teh
Kweli mkuu
Juve walipaswa kushinda hata goli tatu
Mourinho naona tevez yuko deep sana.mfumo gani huu?
Gang Chomba ana mikwara ya nanasi, nje lina vijimiba uchwara kumbe ndani tamuuuChomba anachungulia kwa mbali..teh teh
shika adabu yako wewee
shika adabu yako wewee
Arturo Vidal scored twice to give title-holders Juventus a 3-0 win over Cesena as they became the first team in Serie A history to complete their opening four without conceding a goal.
mbio za ubingwa kwa msimu huu ni #roma na #juve . Milan, Napoli, inter hawa wote wanashiriki. Nini kimelisibu soka la italia?
juve2012, Mourinho, pachanya Gang Chomba, Belo, myao wa tunduru Viper Viol, EMT, na wadau wengine njooni tujadili.
Kuna makala moja iliwekwa pale goal.com ikizungumzia hii kitu, jamaa walichambua vizuri sana.

Nadhani juve2012 ame-summarize vizuri hapo juu ingawa nilishawahi kutupia uchambuzi wa BBC World kwenye jukwaa la Bianconeri juu ya hili, ulikua ni uchambuzi ulioshiba vizuri sana, nitaitafuta ile post niilete tena hapa
Ulichotakiwa kufanya ni kuleta hiyo makala ya Goal.com au uweke hata link hapa Mkuu