Home of AC Milan, Official Thread

Mbona siku misimu hii miwili mitatu mmekuwa adimu ww na Mourinho, Jukwaa limejawa na pumba nyingi.


mie ndugu yangu kila nikitaka kutia pua humu Milan wananijambia...dah basi nimejikita zaidi jukwaa la Mapishi...
 
ila kama mbwai mbwai tu...sasa hivi ntakuwa natia timu kama kawaida...
kama kufungwa kafungwa Babu Seya lakini muziki bado unaendelea

sembuse Milan!
 
Mbona siku misimu hii miwili mitatu mmekuwa adimu ww na Mourinho, Jukwaa limejawa na pumba nyingi.

Me siku hizi nipo kama sniper vile maana watu mnashinda MMU na Jukwaa la Mapishi, ntajadiliana na nani? juve2012 sijui kaokoka siku hizi? Utamkuta anabishana kule kwenye 'ubishi' usioishaga, mabuluda wengine sijui wako wapi, hivi gutierez naye kapotelea wapi? Wapi Viper, bologna, myao wa tunduru na wengine?
Ndio maana siku hizi utanikuta kijiwe cha kina MosDef na Janjaweed napiga mastory ya soka na hawa wakongwe wa soka la Uingereza na Yuropa
 
Last edited by a moderator:


teh teh kumbe mlishashika ukuta dakika ya 11 na goli ya Lrolent ni la kusawazisha?

kwi kwi kwi ishi ujionee
 
Last edited by a moderator:
Huyo Gutierez ndo kapotea vibaya vibaya.
kuna mmoja alkuwa anaitwa Mwekundu, nae kapotea vike vile
Yaani siku hizi Mechi hazirushwi LIVE JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Huyo Gutierez ndo kapotea vibaya vibaya.
kuna mmoja alkuwa anaitwa Mwekundu, nae kapotea vike vile
Yaani siku hizi Mechi hazirushwi LIVE JamiiForums
mwekundu ndio muasisi wa MMU
Ila siku hizi JF imejaa mitoto, me nimekua msomaji tu siku hizi, nachangia kimachale sana ndio maana nakwambie niko kwenye sniper mode
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…