Home Remedy for Malaria KUJITIBU MALARIA KWA TIBA ZA NYUMBANI

Home Remedy for Malaria KUJITIBU MALARIA KWA TIBA ZA NYUMBANI

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Malaria is one of the most common diseases found in the tropical and sub-tropical regions. It is basically caused by protozoan parasites of the genus Plasmodium. It is the female Anopheles mosquito that carries the malarial parasites. When it bites a person, the parasites enter the body, wherein they multiply and spread. Malaria mostly affects people with weak immune system or those living in unhealthy living conditions. The most common symptoms of malaria include high fever - accompanied by chills, headache and shivering. Malaria may also result in other complications, such as anemia, kidney failure and dysentery. In this article, we have provided some home remedies for treating malaria.

Home Remedy For Malaria

  • In a glass of water, add a tsp of cinnamon powder, a tsp of honey and a dash of pepper powder. Boil this concoction and have it after it cools down a bit. This is beneficial in treating malaria.
  • Dhatura, an Indian herb, is beneficial in treating malaria. Take two and a half freshly sprouted leaves of Dhatura and rub them with jaggery. Convert this mixture into a pill and have it on a daily basis.
  • In 60ml of water, dissolve 3 gram of lime and the juice of 1 lemon. Start consuming this, once in a day, right from the time of the onset of fever.
  • Roast alum over a hot plate and then powder it. Take a tsp of it when you still have fever. It is a useful remedy for curing malaria.
  • Holy basil leaves proves beneficial in treating malaria. You can consume the leaves raw or make a decoction of them and then drink it.
  • If the malaria is in the initial stages, an orange juice and water diet can help treat it.
  • For the fever in malaria, applying a cold pack on the forehead proves to be beneficial.
  • In 250 ml of water, add 15 gm Chirayita herb, along with some cloves or cinnamon. Have 15-30 ml of this solution once in a day, for 15-25 days.
  • In a glass of water, put a small piece of ginger and 2-3 teaspoon raisins. Boil this decoction until it gets reduced to half its quantity. Cool down the decoction and consume.
  • Avoid junk food, packed food as well as spicy and oily food. It would work to your detriment

malaria.jpg

MziziMkavu mwenzio nina hirizi mpya ya kitambaa cha kimplin, hii ni kiboko, inafukuza mbu kwa njia ya blue ray
Mkuu Bujibuji Usiseme hirizi sema Dawa ya kufukuzaMbu ipige picha uiweke hapa kwenye Thread kisha utangaze unauza kiasi gani hiyo hirizi ya kufukuzaMbu? Watakuja watu kuinunuwa na utapata pesa si unajuwa mji Wa Dares-Salaam ulivyokuwa na Mbu na umeme wa Mgao wa Tanesko? hakuna.
 
MziziMkavu ndugu yangu, serikali haina nia ya dhati ya kutokomeza malaria. Vilipoletwa vyandarua vya misaada ndipo ulipokuja mradi wa kufuga mbu pale jangwani , na vibanda maalum vikajengwa.
Muhimbili kukajaa mbu ile mbaya. Yaani hata kama hukuwa na malaria ulikuwa unalazimishwa uipate.
Hii dawa yangu sitaki kuiuza, nimejifunza kitu kimoja.......... kila kitu ni ubatili mtupu, atakaye na aje nitampa bure.
 
Mkuu Bujibuji Ni kweli Serikali iliyo madarakani haitaki wananchi wake wapate Raha na kuondokewa na hayo matatizo ya Mdudu Mbu. Ngojea

labda Serikali itakayo chukuwa Madaraka Mwaka 2015 Serikali ya chama kingine sio hiyo ya chama cha Sisi Emu labda itasaidia Wananchi wake kuondokewa na hayo Matatizo ya Malaria au

ningojee mimi nije huko niwe Waziri wa Afya nitautokomeza ugonjwa wa Malaria nchini Tanzania na itabaki ni Historia tu kama

kulikuwepo na huo ugonjwa Fanya subira wakati upo mkuu.
 
Nikwambie kitu MziziMkavu!!!!! Nakupenda kwa sababu watu wengi wanauchukia mtizamo wako

Last edited by a moderator:
Nikwambie kitu MziziMkavu!!!!! Nakupenda kwa sababu watu wengi wanauchukia mtizamo wako
mkuu Bujibuji Kwa sababu mtizamo wangu ni wa kuwasaidia wanyonge sio hao wenye uwezo waache waende India sisi

tutajitibu kwa kutumia dawa zetu za asili za mitishamba tiba mbadala waache wachukie chuki zao hazitonidhuru kitu chochote kile zaidi

labda Wamuhonge Moderator anipige LIFE BAN ndio watafanikiwa pasipo hivyo wanajisumbuwa bure nitawasaidia walala hoi mpaka kufa

kwangu tenda wema uende zako usingoje shukrani yoyote malipo atakaye nilipa ni Mungu tu peke yake Binadamu sihitaji malipo zaidi ya kuniombea dua njema asante mkuu.
 
Back
Top Bottom