kwa wengi wetu tusiojua mlo kamili tutasema wanatesa!!!! mwisho wa siku watakuwa na matumbo ya kuvimbiana and then pressure na magonjwa mengine yanafuata. wanaotakiwa kula hivyo ni waasilika wa ngoma
.. I hope ni ile ya ugali na samaki pembeni au sio? pale ili upate uhondo full hakuna kijiko, kisu wala uma...ni kuchapa mikono nagonga thamaki hakuna kubakisha kichwa, mkia wala mwiba...mh!!:A S tongue::A S tongue: