Home sweet home

Home sweet home

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
2,804
Reaction score
96
Hapa natokwa na mate kabisa kwa kuangalia nyama choma...yaani nakumbukia manyanya them days..nyama choma with ndizi za kuchoma huku unashushia na soda ya fanta lol!..uuuuuuuuuuuwiii..au pale kinondoni juu,chips kwa jimmy plus chachandu...duuh yani i miss nyama choma yaani ni mbuzi kwa kwenda mbele....

do you remember that>?!

3.JPG
 
Ha ha ha ha spring inakuja hiyo unaweza ukamwalika cupcake mkawa mnachoma uani kwako 🙂. By the way umeshaweka camera/alarm nyumbani kwako? Udenda unakuchuruzika kuziangalia hizo picha za nyama nyoma 😉
 
Hapa natokwa na mate kabisa kwa kuangalia nyama choma...yaani nakumbukia manyanya them days..nyama choma with ndizi za kuchoma huku unashushia na soda ya fanta lol!..uuuuuuuuuuuwiii..au pale kinondoni juu,chips kwa jimmy plus chachandu...duuh yani i miss nyama choma yaani ni mbuzi kwa kwenda mbele....

do you remember that>?!

3.JPG

Ahhhgh!! soda tena ndugu! Mwenzio mie ka-safari ka barrriiidi!! chini ya kivuli cha mwarobaini.
 
Mmhh jamani nami natamani, na zile fanta za bongo ni the best, sijui sababu lkn siwahi kunywa fanta tamu kama za tz. Makuku ya huku , yaani unakula tuu lkn ladha hayana kama wale wa kienyeji wa tz
 
Kwani uko wapi?
 
Violet,

Yaani supu kuku wa kinyeji yaani ni tam hata unaweza kujing'ata ulimi ndugu!!!

We acha tu!
 
Yaani acha tu, niko ujerumani. Lkn uongo mbaya, nilijaribu supu ya utumbo , mhh inaanza kuganda, ilinishinda!
 
Hapa natokwa na mate kabisa kwa kuangalia nyama choma...yaani nakumbukia manyanya them days..nyama choma with ndizi za kuchoma huku unashushia na soda ya fanta lol!..uuuuuuuuuuuwiii..au pale kinondoni juu,chips kwa jimmy plus chachandu...duuh yani i miss nyama choma yaani ni mbuzi kwa kwenda mbele....

do you remember that>?!

3.JPG

Lol shemeji umenikumbusha mbali sana,nyama ni moja wapo ya starehe zetu bhaguku,hope bradha kakueleza vi2 2navyovipenda sie akina Ngosha,maana sie starehe zetu ni 3: Walwa(Lwalwa),Inyama na Ny..(Lol)..Ngosha NN ulihale?????,Wapi Masanilo
 
ndio maana kely01 una kitambi....
 
ndio maana kely01 una kitambi....

Kwa vile wewe umeshindwa kupata demu ki portable basi umeamua kusagia sagia wa wenzio...wewe endelea tu na Usoja Boy wako...yuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Lol shemeji umenikumbusha mbali sana,nyama ni moja wapo ya starehe zetu bhaguku,hope bradha kakueleza vi2 2navyovipenda sie akina Ngosha,maana sie starehe zetu ni 3: Walwa(Lwalwa),Inyama na Ny..(Lol)..Ngosha NN ulihale?????,Wapi Masanilo

Naleho nkoi...

U Masanilo ujaga gung'wa walwa....lol
 
... Urojo, pweza, kaa, pweza, chaza, zanzibar Pizza huku unashushia taratiiibu kwa Juice ya miwa ilhali wapepewa na upepo mwanana wa pwani ya 'foro', na Ras Nungwi kwa mbaali inakata mawimbi... Loh!

FORODHANI_NIGHT_MARKET.jpg
 
Naleho nkoi...

U Masanilo ujaga gung'wa walwa....lol

Guys... once again, lets cut this crap to restore Tanzania language and not hiyo nyingine ya kwimba na buchosa

I hope MOds are doing their job
 
Hapa natokwa na mate kabisa kwa kuangalia nyama choma...yaani nakumbukia manyanya them days..nyama choma with ndizi za kuchoma huku unashushia na soda ya fanta lol!..uuuuuuuuuuuwiii..au pale kinondoni juu,chips kwa jimmy plus chachandu...duuh yani i miss nyama choma yaani ni mbuzi kwa kwenda mbele....

do you remember that>?!

3.JPG

.........kwa Barafaa ilala na Amerikani chips kinondoni......mmhhhh ni kweli Home sweet home
 
Hapa natokwa na mate kabisa kwa kuangalia nyama choma...yaani nakumbukia manyanya them days..nyama choma with ndizi za kuchoma huku unashushia na soda ya fanta lol!..uuuuuuuuuuuwiii..au pale kinondoni juu,chips kwa jimmy plus chachandu...duuh yani i miss nyama choma yaani ni mbuzi kwa kwenda mbele....

do you remember that>?!

3.JPG

.........kwa Barafaa ilala na Amerikani chips kinondoni......mmhhhh ni kweli Home sweet home hoooohw nilitaka kusahau Delax kwa Baba Geogre,kongo Chipolopolo ni raha tu..........!
 
... Urojo, pweza, kaa, pweza, chaza, zanzibar Pizza huku unashushia taratiiibu kwa Juice ya miwa ilhali wapepewa na upepo mwanana wa pwani ya 'foro', na Ras Nungwi kwa mbaali inakata mawimbi... Loh!

Mbu unanifanya nifikirie sana home.....lakini ndio hivyo tena acha tule vyakula visivyoisha shombo huku ughaibuni.....!!!!!???
 
... Urojo, pweza, kaa, pweza, chaza, zanzibar Pizza huku unashushia taratiiibu kwa Juice ya miwa ilhali wapepewa na upepo mwanana wa pwani ya 'foro', na Ras Nungwi kwa mbaali inakata mawimbi... Loh!

Dang!.............mbu wewe umenifanya mate yatoke kabisa maana umenitamanisha na crabs....yaani really crabs hadi raha............
 
Kwa vile wewe umeshindwa kupata demu ki portable basi umeamua kusagia sagia wa wenzio...wewe endelea tu na Usoja Boy wako...yuuuuuuuuuuuuuuuuuu

cupcake si unamjua huyo shortii alivyo kaona bora animalize wee haya wee!...hata kama nina kitambi si unanipenda hivyohivyo right?...maana yake nipo health na ninakula health food.
 
Back
Top Bottom