indian mark 2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 397
- 301
Kumbe zina hayo Majanga, AsanteKiongozi hizo ndo zilivyo mm na lg nayo sauti ikiwa ndogo huwa twiter zinapotea ,hizo unatakiwa sauti isipunguwe 30 ,ndo utaona twiter hazipotei ,Sijui zimetengenezwaje aises ,nahisi kama ni deep bass
Kabisa mm nilinunuaga ya kwanza lg mkononi ikawa inashida hiyo nikahisi mbovu ,nikajipanga nikazama shop kuja nayo ikawa hivyo nikarudisha wakanibadilishia nyingine nikaona yale yale ,mpaka nakuja kugundua kuwa sauti ikiwa chini ya 30 inamtindo wakujipunguza ,na kuwa deep bass ,ndo nikazielewa ,mpaka leo nikitaka sauti isishike naweka vol 30 hapo huwoni twiter zikizima ...ww chunguza kisha unipe mrejesho maana ikiwa chini ya hapo itaimba kwa sauti kubwa ikifika muda unaona sauti inajishushaKumbe zina hayo Majanga, Asante
Hii nitaijaribu kesho nitaleta mrejesho hapa mana nishaona kama ni upuuzi mtupu kitu unanunua kwa gharama kubwa alafu linakuja kukuletea mazingaombweKiongozi hizo ndo zilivyo mm na lg nayo sauti ikiwa ndogo huwa twiter zinapotea ,hizo unatakiwa sauti isipunguwe 30 ,ndo utaona twiter hazipotei ,Sijui zimetengenezwaje aises ,nahisi kama ni deep bass