Home theater inauzwa

Home theater inauzwa

DJ Imma

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
221
Reaction score
100
Wakuu nauza home theater yangu,
Watts 800
Haina blootuth
Inahitaji marekebisho kidogo upande wa cd
Zaidi ya hapo kila kitu kinafanya kazi, bei 350,000

Picha na mawasiliano zaidi 0658644485

1619001847030..jpg
 
Mkuu, kwanini hujaainisha jina la hiyo home theatre?
By then huoni ingekuwa busara hilo tatizo kidogo ungelirekebisha ili kupunguza dosari zitakazopelekea uthabiti wa bei ya bidhaa yako
 
Mkuu, kwanini hujaainisha jina la hiyo home theatre?
By then huoni ingekuwa busara hilo tatizo kidogo ungelirekebisha ili kupunguza dosari zitakazopelekea uthabiti wa bei ya bidhaa yako
Picha inaonyesha brand mkuu, ni Sony Hilo tatizo nimekosa muda Ila ni dogo saana
 
Back
Top Bottom