Home tips

HABARI ZA WAKATI HUU
LEO NINA HABARI KUHUSU DECORATIVE MIRRORS.

INSTAGRAM@dollrubii_decors

Vioo ni kitu kisichokosekana katika nyumba yoyote. Daima hutimiza kazi muhimu sana kuweza kuonana na kuona mwonekano ambao tunavaa, lakini zaidi ya kazi ya urembo, vioo vinaweza kuwa vipande vya mapambo
Vioo vya mapambo kusaidia kuunda mazingira na pia wana njia za kuboresha nafasi. Kuna mapambo mengi ambayo yanajua jinsi ya kutumia sifa za vioo kuboresha kila chumba.

Hivi ni baadhi ya vioo vya mapambo lakini pia jinsi ya kuvitumia kuboresha muonekano wa nyumba yako

Vioo hutumiwa kuongeza mwangaza katika nyumba yako
Ukiingia kwenye chumba chenye vioo vingi, utaona kuwa kinaonekana kuwa kikubwa mara mbili. Ni ujanja tu wa macho ambao unadanganya akili zetu, lakini inaweza kuwa wazo nzuri wakati wa kutengeneza nafasi kubwa ambazo ni ndogo au nyembamba.
[ ] MLANGONI PA KUINGILIA
[ ] KORIDONI
[ ] ENEO KARIBU NA DIRISHA
[ ] KUTA ZILIZO WAZI
[ ] BAFUNI NA SINKI ZOTE ZA KUNAWIA
Kuongeza thamani kwa nyumba yako tumia vioo vya kisasa vyenye nakshi nzuri

 
Your browser is not able to display this video.


You always, always, always want to check these 5 things before buying a property.

This will give you a clear understanding of the state of the property you’re considering purchasing, and help you make an informed decision. This will also help you to avoid very costly repairs down the line.
 
Your browser is not able to display this video.



Picha za ukutani kwa muda mrefu zimekuwa zikitumika kama njia ya kupendezea sebule au chumba kionekana na mvuto mzuri.

Picha hizi ni mavazi na mapambo ya kisasa

📌Picha Frem
📌Saa
📌Michoro
📌Vioo
📌Sticker
📌Nyungo na vinyago

👉🏽Chagua sanaa kwa ukubwa utakaotosha ukuta wako
Pambo ambalo ni kubwa sana litauzidi nguvu ukuta na lile
ambalo ni dogo sana litamezwa na ukuta.
Ni vizuri kuchagua pambo ambalo litaleta uwiano na
mahali unapotaka kulitundika. Pambo linapokuwa kubwa
ndivyo linavyohitaji ukuta mkubwa lakini likiwa dogc
kadhalika na ukuta uwe mdogo

👉🏽Vizuri kupima eneo unalotaka kutundika pambo na
kuacha nafasi ya kutosha kati ya moja na lingine ili
yasionekane kurundikana

👉🏽Chagua pambo ambalo linaendana na mandhari ya
chumba kwa kuangalia rangi kuu mbili ambazo
zimeshamiri (zinachomoza zaidi ya nyingine hata kama
haziko eneo kubwa) katika chumba na uchague pambo la
ukuta ambalo lina rangi hizo.
Kumbuka kuwa lengo sio saresare ila kuchagua pambo
lenye rangi moja kati ya rangi kuu chumbani inatoa
ujumbe kwamba hilo pambo linatakiwa kuwa katika
mazingira hayo linapendezesha na linahitajika.

Karibuni IG@dollrubii_decors

Tuna PICHA nzuri sana na WALLARTS classic bila kusahau FREE DELIVERY kwa Dar es salaam

👉🏾Posta Samora
Dsm Tunafanya delivery
Mikoani tunatuma
Call/whatsapp#0699306065

#dollrubiivyombo#dollrubiidecors #homedecor #homedocorations
#interiors #interiordesign #decor
#urembowanyumba
#vyombo#kitchensolution#vyombotz
#vyombovizuri #vyombovizuribeinzuri #vyomboclassics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…