Home wife vs job wife


Kweli kiongozi...

Lakini naona kama tumetoka nje ya mada. Mwanzisha thread anazungumzia kazi za "maofisini" nadhani akimaanisha kazi za kuajiriwa na kutegemea mshahara wa "mkoloni"
 
Being a wife.
Being a career woman,
Being a mother,

ningetamani mume wangu aniwekee insurance, niache kazi ya kuajiriwa, niwe na investment ambayo itachukua less than 4 hrs a day, nitunze watoto wangu, sasa hivi housegirls sio reliable, nawamiss sana watoto, I feel also guilty kuwaacha watoto wanalelewa na mtu siku nzima.
kaka bora uoe mke umtafutie part time, ila uwe na hela nyingi ili umtunze,
siku hizi kutunza mke ni expensive sana.
 
Mapenzi ya dhati ndicho pekee kigezo muhimu mengine yote yanafuata!
 
If I could I would have prefered to be a house wife esp watoto wakiwa wadogo its just that majukumu yamekuwa mengi sana siku hizi kipato kimoja cha kawaida will not cut it kabisa.

So kama una uwezo wa kusupport familia yako kawa kipato chako let your wife stay home and take care of the kids, miaka yao ya mwanzo ni muhimu sana this is when wanajifunza mambo muhimu sana katika maisha binadamu. na maamuzi haya yasifanyike kibabe mkae muelezana na kukubaliana.
 
Cha msingi ni upendo wa dhati ktk mapenzi yenu, mke awe mwajiriwa au aliyejiajiri (hata kama ni kuunga mchuzi kwa ajili ya familia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…