Homeland Consultancy- Private Investigation Firm

isasuna

Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
51
Reaction score
19
Habari Wanajamvi,
Tunapenda kuwataarifu wote wenye mahitaji ya uchunguzi hasa kwenye makampuni binafsi kama mabenki, NGO, Logistics,Clearing, na mengineyo ambapo wizi(Fraud) inaweza kutokea kuwa tonatoa huduma ya uchunguzi wa kitaalam kabisa na kwa bei nafuu kabisa ya kitanzania.

Tunao professionals wazuri waliobobea kwenye uhasibu, investigation, sheria na IT ambao wanaweza kukufanyia uchunguzi kwa ufanisi mkubwa na kukupatia ushahidi utakao tumia hadi mahakamani.

Kampuni yetu imesajiliwa brela kama consultancy firm na tuna leseni hivyo tunafanya shughuli zetu kisheria.

Tofauti na makampuni mengine mliowahi kusikia ambao wanafanya upelelezi katika nyanja nyingi, sisi tumejikita kwenye fraud and corruption(wizi na rushwa) tu ambapo tunafanya vitu vichache ila kwa ufanisi kulingana na uzoefu na elimu zetu. Vitu hivo ni 1. Fraud-risk management and Investigation 2. Training on fraud awareness 3.Back ground checks for new recruits 4. Asset Tracing and Recovery 5. Security Services.
Tunawakaribisha sana na kuna vingi tu ambavyo tunashauri bure kwa mteja ambaye anahitaji huduma yetu.

Kwa mawasiliano tumia e-mail: info@homeland.co.tz

Simu 0754 479 420 au 0787 519910
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…