Homilia ya askofu wa Lindi siyo msimamo wa TEC

hatuhangaishwi na huyo mhuni anayejifanay rais sijui rais wa nyokweeee anajambajamba tu hovyo hayo yalikuwa maoni yake ya kijinga tu na siyo kauli ya kanisa
Mtanyooka tu. Maana siyo kwa mawe haya mnayotupiwa.
 
Hiyo ni Nicaragua siyo Tanzania, nyie nyumbu sahivi ht Al-Shaabab mtawafurahia ili mradi sijui muingie ikulu? Wavuta bangi na watu wa hovyo km Lissu na Heche hawawezi kuingia mahali pa takatifu. Uongozi wa nafasi km uRais ni mpango wa Mungu.
 
Mtaweweseka sana mwaka huu. Na bado lazima mchanganyikiwe kabisa nyie wapuuzi CCM.

Endelea kujifanya una umuhimu kwao ili waendelee kukulipa tapeli wa kisiasa wewe.

Msimamo uliotolewa umetolewa na Rais Wa TEC kwa niaba ya TEC. Tulieni tu.
We utakufa ukiwa mpumbavu hivyo hivyo, what hell is TEC? zuzu ni zuzu tu.
 
Mtaweweseka sana mwaka huu. Na bado lazima mchanganyikiwe kabisa nyie wapuuzi CCM.

Endelea kujifanya una umuhimu kwao ili waendelee kukulipa tapeli wa kisiasa wewe.

Msimamo uliotolewa umetolewa na Rais Wa TEC kwa niaba ya TEC. Tulieni tu.
Subiri atakaponyongwa Lissu ndio mtatia akili!
 
We jamaa kila niki ku ignore bado nakutana na uharo wako, ngoja nijaribu tena.
 
Unafikiria kwa kutumia kiungo gani chief?
Unaandika upuuzi umejaza page, kama huna cha kusema,acha wenye nacho waseme.
Hopeless!
 
Mleta mada, uchawa na unafiki, vimemwondolea akili. Apuuzwe kama punguani na wale vichaa wanaookota makopo majalalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…