Homosexual is a transitional process

Homosexual is a transitional process

APCS TANZANIA

Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Do you know that homosexual is a transitional process!..ANYONE WHO KNOWS ABOUT THIS PROCESS CAN GIVE US MORE ABOUT WHAT HE OR SHE KNOWS
 
Do you know that homosexual is a transitional process!..ANYONE WHO KNOWS ABOUT THIS PROCESS CAN GIVE US MORE ABOUT WHAT HE OR SHE KNOWS

Contradiction, pls clarify what do you mean.
 
Homosexual is a transitional period/process ni swali limeulizwa kwa wadau wanaojua zaidi kuhusu hili....please lugha chafu na matusi kwenye hili jukwaa haitakiwi
 
Homosexual ni mtu ambae mrengo wake wa kufanya mapenzi ni ya jinsia aliyo nayo. Kama yeye ni mwanaume basi yeye hupenda kufanya mapenzi na mwanaume mwenzake, hali kadhalika akiwa mwanamke naye ni hivyo hivyo. Hapo nyuma kidogo homosexuality ilikuwa kwenye moja ya magonjwa ya akili. Lakini kutokana na "wavumbuzi" wa Amerika, waligundua kuwa unaweza ukawa una vinasaba vinavyochochea mtu akawa anatamani kimapenzi wenzake wa jinsia moja. Hiyo ilisababisha kutolewa kwa huo "ugonjwa" kwenye daftari la magonjwa ya akili. Katika jamii tofauti homosexuals wanapokelewa kwa tabu kidogo. Nchi za magharibi wao wanaweza kuwavumilia mpaka sasa hivi wameruhusu ndoa za jinsia moja, kitu ambacho kimeleta tafrani na mizozo katika jamii zao. Nikirudi kwenye hoja yako kuwa huo ni mchakato tu unaweza ukabadilika hapo sikubaliani nawe. Mara mtoto wa kiume akianza kale kamchezo ka kupakuliwa 713 inakuwa ngumu sana kuacha.
 
Back
Top Bottom