Ushoga sio genetically, ni roho chafu ya shetani, ni pepo kama vile pepo mahaba, maimuna,makata au subiani. Kuna jini moja anaitwa jini abubakari, yeye ni pepo la shetani linaloingiza hamu ya wanaume kulawitiwa na wanaume wenzao, wanapoamua kufanya hivyo, hawajipendei, ni kwasababu ya nguvu ya hilo jini tu. cha maana wakiokoka na kumpa Bwana Yesu maisha yao, jini litakimbia, na wanaweza wakapona na kuondokana na hiyo roho chafu ya shetani kutoka kuzimu. Kwanini ushoga utanajwa sana sehemu za pwani, mombasa zenji na ukanda wa pwani? hata kama sio wa wanaume, mbona watu wa pwani wengi sana wanawaingilia wanawake zao kinyume na maumbile?huo nao ushoga vilevile kwasababu anus ni anus tu, anus ya mwanaume ni sawa tu na ya mwanamke.
wengi wameshuhudia wanaume wakiingiliwa na majini usiku wakiwa wamelala bila wao kujipendea, kuna mtoto mmoja mtwara, alipohojiwa alisema, kulikuwa na jini lilikuwa linakuja kumwingilia bila yeye kupenda kile siku, na kule kukizoea basi anataka kila siku hata kwa watu wa kawaida.
kipindi cha nyuma popobawa lilitokea zanzibar na pwani huku, lililawiti watu wengi hadi viongozi wakubwa. hawana nguvu za kumng'oa, pasipo nguvu ya Jina la Yesu, hawawezi kumng'oa. Kwetu kule bara, kwanza hatujui nini maana ya ushoga, kwasababu watu hawaamini inawezekanaje mtu akaingiza sehemu ya mavi, yaani kama mtu kama huyo akitokea kule anaweza akaulizwa maswali gunia zima, ni kwamba hayapo, na wanaweza hata wakamwua.
mimi nashauri,kama kuna mtu shoga, hawezi kuacha huo ushoga mpaka ampokee bwana Yesu aliyekuja kutupatia nguvu ya kushinda dhambi, ndo ataweza kuondokana na hili jini baya, la sivyo, ataishia kubaguliwa na atakufa si siku zake. kwa wale waliowahi kwenda kama nchi za Marekani, ukiwa kule watu wakishikana mikono wanaume watupu, unaweza kufikiri ni kitu cha kawaida, wengi wanashangaa kuona hapa africa tunashikana mikono wakati wa kutembea, lakini hatumaanishi ushoga. huu ni uchafu wa sodoma na gomora.
OLE WAKE MTU YEYOTE ANAESAPOTI USHOGA, AU ANAEWASAPOTI MASHOGA NA KUWAITA WANA HAKI ZAO KUFANYA USHOGA,kwasababu atakula sahani moja pamoja nao kama ile sahani waliyokuwa sodoma na gomora. hata nchi yetu ya Tanzania inakataza. Ukisoma SOSPA kwa wale wanasheria wanajua(Sexual Offence Special Provision Act), you can go download it from the website of the parliament of Tanzania, kumwingilia mtu mwingine mwanaume au mwanamke kinyume na maumbile, unatakiwa kufungwa kifungo cha maisha. hivyo mashoga wakikamatwa hapa Tanzania, wanastahili kifungo cha maisha. the issue is only how to prove it, kwasababu hauwakuti wakifanya ivyo vitendo, lakini kama kuna proof, wanatakiwa kufungwa maisha kulingana na sheria hii. Amina.